Nini hatma ya Polepole baada ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM inayofanyika Disemba 18, 2021?

Huyu nae wamtembeze ya mguu akaombe msamaha maana nae aliwadhalilisha Hadi wazee aliowakuta kwenye chama akijiona amemaliza kila kitu it was like he was already in heaven.

Wahenga wanasema usitukane wajinga na uzazi ungalipo, na usitukane mamba kabla hujavuka mto.

Sasa hana pa kushika, serikali haimtaki, CCM ya wenyewe haimtaki, upinzani ndio kabisa labda zitto ndio anaweza kumpikea maana nae ni ndumilakuwili kama Dr padri mwitu.
 
Ukweli mchungu!
 
Unaijua vieite wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…