Wivu ni return ya upendo wenye hisia ndani yake kwani kupenda ni kitendo cha kumiss mtu kipindi hayupo karibu yako yani unajisikia mpweke akiwa mbali na ww tofauti ya upendo wa kawaida (Agape) na upendo wa love ni hisia ndizo zinatofautisha kati ya upendo wa Agape na upendo wa kimapenzi ambao upendo huo anaupata mtu ambae unaweza kufanya jambo lolote au chochote mbele yake bila ya kuoa aibu
Sasa wivu ni return ya upendo wa aina yeyote yani Agape na LOVE yani kwa lugha nyingine ni reflect inayokuja kwenye macho yako baada ya kuona kile unachokipenda au unaempenda kuna dalili ya kuchukuliwa au kuondoka ndani ya Empire yako ambapo taarifa zinakwenda kwenye sehemu inayohusika na upendo ndipo zinakuja hisia za chuki dhidi ya kile au yule anayekuletea threat kwa mpenzi au kitu chako