Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UbinafsiHabari Wana jukwaa!
Sina mengi sana zaidi ya kutaka kufahamu hasa ninini husababisha wivu katika mapenzi??
View attachment 492481 View attachment 492485
Karibuni kwa mawazo na maoni yenu
Kwamba mtu anakua na mprnzi wake ila mawazo yake mara nyingi ni hiviKutokujiamini kivipi mkuu?!
Kwahiyo wewe unaona papuchi yako ni vema umpe kila mtu etii?Habari Wana jukwaa!
Sina mengi sana zaidi ya kutaka kufahamu hasa ninini husababisha wivu katika mapenzi??
View attachment 492481 View attachment 492485
Karibuni kwa mawazo na maoni yenu
Kwamba mtu anakua na mprnzi wake ila mawazo yake mara nyingi ni hivi
"Huyu nahisi ananidanganya"
"Amebadilika au kapata mtu mwingine" n.k
Yani unakuwa hujiamini kama mwenzio ni mwaminifu kwako
Ukipata jibu kwanini ya mmoja utajijibu swali lako.Hapana mkuu hii ni ya mmoja tu
Mshana una wivu wewe?Kwamba mtu anakua na mprnzi wake ila mawazo yake mara nyingi ni hivi
"Huyu nahisi ananidanganya"
"Amebadilika au kapata mtu mwingine" n.k
Yani unakuwa hujiamini kama mwenzio ni mwaminifu kwako
Saa zingine ni mapenzi kupitiliza na kuna muda mtu anatabia ya kusaliti sasa anaassume hata mwenza wake naye anatabia kama yake
Ha haa ile issue hakuna anaependa kushare. Basi tu inabidi sazingineMshana hana wivu kabisa na anaonekana anapenda vya kushea Tehteh