Nini husababisha wivu katika Mapenzi

Nini husababisha wivu katika Mapenzi

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
67,252
Reaction score
168,563
Habari Wana jukwaa!
Sina mengi sana zaidi ya kutaka kufahamu hasa ninini husababisha wivu katika mapenzi??
160318-167473.jpg
75380-65893.jpg
IMG_20170407_182457.JPG
TMPDOODLE1491644371629.jpg
TMPDOODLE1491644637466.jpg


Karibuni kwa mawazo mtazamo na maoni yenu
 
160318-167473.jpg
 

Attachments

  • 160318-167473.jpg
    160318-167473.jpg
    9.2 KB · Views: 118
  • 75380-65893.jpg
    75380-65893.jpg
    7.6 KB · Views: 77
Kutokujiamini. Ni natural thing lakini. Ila niliwahi sikia watu wakisema kuwa mwenye wivu ndio mwenye mapenzi ya kweli
 
Kwamba mtu anakua na mprnzi wake ila mawazo yake mara nyingi ni hivi

"Huyu nahisi ananidanganya"

"Amebadilika au kapata mtu mwingine" n.k

Yani unakuwa hujiamini kama mwenzio ni mwaminifu kwako

Hahahaahhahahaahahahahaha lol kumbe
 
Wivu ni return ya upendo wenye hisia ndani yake kwani kupenda ni kitendo cha kumiss mtu kipindi hayupo karibu yako yani unajisikia mpweke akiwa mbali na ww tofauti ya upendo wa kawaida (Agape) na upendo wa love ni hisia ndizo zinatofautisha kati ya upendo wa Agape na upendo wa kimapenzi ambao upendo huo anaupata mtu ambae unaweza kufanya jambo lolote au chochote mbele yake bila ya kuoa aibu

Sasa wivu ni return ya upendo wa aina yeyote yani Agape na LOVE yani kwa lugha nyingine ni reflect inayokuja kwenye macho yako baada ya kuona kile unachokipenda au unaempenda kuna dalili ya kuchukuliwa au kuondoka ndani ya Empire yako ambapo taarifa zinakwenda kwenye sehemu inayohusika na upendo ndipo zinakuja hisia za chuki dhidi ya kile au yule anayekuletea threat kwa mpenzi au kitu chako
 
Saa zingine ni mapenzi kupitiliza na kuna muda mtu anatabia ya kusaliti sasa anaassume hata mwenza wake naye anatabia kama yake

Anahis anayoyafanya yeye nawewe unafanya kumbe walaaaa
Cha kushangaza sasa yeye anasaliti ila wivu lukuki sijui kwanini yani
 
Back
Top Bottom