Nini husababisha wivu katika Mapenzi

Acha Ku complicate mambo eleza kwa lugha nyepesi
 
Kutokujiamini teh. sa ingine lazima mtu usijiamini ohoooo si kwa mtu anavowindwa na wengine Tehteh
Hii ndio hasa inakera,she is so attractive pindi napoona anatongozwa tu na wapuuzi wengine moyo unawaka moto. Sinaga uhakika about what will happen thereafter ila i commit to stay strong. Huwa yanapita salama, anawachomolea. Ila wivu babaaa loh...at times tunagombanaga kabisa!
 
Wivu husababishwa na kutokujiamini..ubinafsi..na upendo kupita kiasi...

Vile vile wivu kwa kiasi fulani unasaidia kuboresha mapenzi na muda mwingine pia huharibu mapenzi ikiwa umezidi sana..Natumai umenipata kwa 'kiduchu'
Sasa mkuu utajiaminije kama mtu wako anatongozwa frequently? Na unajua lengo la yeye kutongozwa ni nini...
 
Yote 9 ila ukiona huna wivu na mtu wako jua bado hamna connection timilifu. Ni ngumu sana hata kutia nguvu katika huo uhusiano.
 
Inawezekana mtu akawa na wivu lakini hataki kuuonesha ?
Kuuficha wivu ni talanta ya ajabu kabisa. Yeah wapo wanaoweza hilo ila hebu siku itokee unaona demu wako anatongozwa hujakaa vizuri mara kashikwa mkono na njemba wanaelekea Gwami lodge je unaeza vumilia hilo??? Utaacha akaliwe bila kuchukua hatua yeyote.
 
Acha Ku complicate mambo eleza kwa lugha nyepesi
Aliyeuliza kaniekewa bhasi inatosha si lazima anielewe kila mtu kwani darasani mnakuwa wengi na mnafundishwa wote lakini kunakuwa na wa kwanza mpaka wa mwisho
 
1.kutojiamin
2.kukosa cha kufanya
3.umasikin
4.kujionyesha unapenda sana
5.kukosa maturity mind
6........
 
Aliyeuliza kaniekewa bhasi inatosha si lazima anielewe kila mtu kwani darasani mnakuwa wengi na mnafundishwa wote lakini kunakuwa na wa kwanza mpaka wa mwisho

Kuna slow learners and first learners
Na wengine hata upige uburuze uue nibure
 
Tunza malaika huyo yaani mshike itakikavo apply mambo ya tanga mkuu hii dunia ni pepo tosha ukijua kupendwa buana [emoji109][emoji109][emoji16][emoji16]
Cc:Smart911
Cc:Mahondwa

Asante sana mkuu nawe barikiwa sana na penzi lako nahuyo mamii mtunze mlinde mthamini sana mdekeze kwa raha zenuu mpe mapenzi Yale Yale yanayostahili kabisa ili hata akitaka kwenda kwingine ajione kachanganyikiwa au karogwa
 
Haa lazima ureact asee

Cc: Smart911
 
Asante sana mkuu nawe barikiwa sana na penzi lako nahuyo mamii mtunze mlinde mthamini sana mdekeze kwa raha zenuu mpe mapenzi Yale Yale yanayostahili kabisa ili hata akitaka kwenda kwingine ajione kachanganyikiwa au karogwa
Mkuu mie bado asee nipo nipo kwanza bado macho yangu hayajaona ila mungu atafanya wepesi maombi tu tuombeane mkuu
 
Fafanua mkuu

Hanithi si mwanaume ambae hasimamishi jamani au sio??
Ngoja niapply logic hapa

Premise A- Asie na wivu ni Hanithi
Premise B- Hanithi ni me ambae hasimamishi
Premise C- Me wengi wanasimamisha
And therefore wanaume weeeeeengii Wana wivu khakhaakhaa
Bonny unasimamisha kwani ??? Kama huna wivu logic inasema wewe ni...

Cc; Smart911
 
Duuuuuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…