DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Fafanua mkuu"Yule asiyekua na wivu huyo ni hanithi" mwisho wa kunukuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fafanua mkuu"Yule asiyekua na wivu huyo ni hanithi" mwisho wa kunukuu
Acha Ku complicate mambo eleza kwa lugha nyepesiChukua mfano unammulika mwenzio machoni na touch maumivu atakavyo sikia ni kutokana na mwanga ulivyo mkali na mwanga mkali unasababiswa na betri zilivyo na nguvu
Sasa hapa nakuchambulia
MWANGA ni kile kinachokuja moyoni baada ya kuona kile unachokipenda au unaempenda kina dalili ya kuchukuliwa
MACHO ni moyo ambao unaumia unapomulikwa na mwanga na maumivu ya macho yanatokana na ukali wa wanga
BETRI ni uzuri wa kile unachokiona mbele yako kulinganisha na wewe ambacho kinatishia kuchukua kile ukipendacho
Sasa combination ya MWANGA, MACHO na BETRI ndio muundo sahihi wa wivu hakuna binadamu ambaye hana wivu ila tunatofautiana ukubwa wa wivu tu
Siku zote tatizo la wivu kupitiliza ni kupelekea magongwa ya moyo hasa BP so Mwanga ukiwa mkali ndivyo macho yanazidi kuumia
Hii ndio hasa inakera,she is so attractive pindi napoona anatongozwa tu na wapuuzi wengine moyo unawaka moto. Sinaga uhakika about what will happen thereafter ila i commit to stay strong. Huwa yanapita salama, anawachomolea. Ila wivu babaaa loh...at times tunagombanaga kabisa!Kutokujiamini teh. sa ingine lazima mtu usijiamini ohoooo si kwa mtu anavowindwa na wengine Tehteh
Ulikuwa haumpendi sana huyo. Na ndio maana mlitemana!Aisee, kuna demu wangu wakitambo kidogo...alikuwa ananimind sana kwa nini sina wivu nae hata kidogo.
Sasa mkuu utajiaminije kama mtu wako anatongozwa frequently? Na unajua lengo la yeye kutongozwa ni nini...Wivu husababishwa na kutokujiamini..ubinafsi..na upendo kupita kiasi...
Vile vile wivu kwa kiasi fulani unasaidia kuboresha mapenzi na muda mwingine pia huharibu mapenzi ikiwa umezidi sana..Natumai umenipata kwa 'kiduchu'
Inawezekana mtu akawa na wivu lakini hataki kuuonesha ?Ulikuwa haumpendi sana huyo. Na ndio maana mlitemana!
Kuuficha wivu ni talanta ya ajabu kabisa. Yeah wapo wanaoweza hilo ila hebu siku itokee unaona demu wako anatongozwa hujakaa vizuri mara kashikwa mkono na njemba wanaelekea Gwami lodge je unaeza vumilia hilo??? Utaacha akaliwe bila kuchukua hatua yeyote.Inawezekana mtu akawa na wivu lakini hataki kuuonesha ?
Aliyeuliza kaniekewa bhasi inatosha si lazima anielewe kila mtu kwani darasani mnakuwa wengi na mnafundishwa wote lakini kunakuwa na wa kwanza mpaka wa mwishoAcha Ku complicate mambo eleza kwa lugha nyepesi
Dekeka apo apo mkuu usipaachie milele na daima apo apo
Tunza malaika huyo yaani mshike itakikavo apply mambo ya tanga mkuu hii dunia ni pepo tosha ukijua kupendwa buana [emoji109][emoji109][emoji16][emoji16]
Aliyeuliza kaniekewa bhasi inatosha si lazima anielewe kila mtu kwani darasani mnakuwa wengi na mnafundishwa wote lakini kunakuwa na wa kwanza mpaka wa mwisho
Tunza malaika huyo yaani mshike itakikavo apply mambo ya tanga mkuu hii dunia ni pepo tosha ukijua kupendwa buana [emoji109][emoji109][emoji16][emoji16]
Cc:Smart911
Cc:Mahondwa
Haa lazima ureact aseeKuuficha wivu ni talanta ya ajabu kabisa. Yeah wapo wanaoweza hilo ila hebu siku itokee unaona demu wako anatongozwa hujakaa vizuri mara kashikwa mkono na njemba wanaelekea Gwami lodge je unaeza vumilia hilo??? Utaacha akaliwe bila kuchukua hatua yeyote.
Mkuu mie bado asee nipo nipo kwanza bado macho yangu hayajaona ila mungu atafanya wepesi maombi tu tuombeane mkuuAsante sana mkuu nawe barikiwa sana na penzi lako nahuyo mamii mtunze mlinde mthamini sana mdekeze kwa raha zenuu mpe mapenzi Yale Yale yanayostahili kabisa ili hata akitaka kwenda kwingine ajione kachanganyikiwa au karogwa
Fafanua mkuu
DuuuuuuhHanithi si mwanaume ambae hasimamishi jamani au sio??
Ngoja niapply logic hapa
Premise A- Asie na wivu ni Hanithi
Premise B- Hanithi ni me ambae hasimamishi
Premise C- Me wengi wanasimamisha
And therefore wanaume weeeeeengii Wana wivu khakhaakhaa
Cc; Smart911