Nini inaweza kuwa shida kwenye hii engine naona inavuja oil

Fmruma

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
498
Reaction score
783
IMG_2653.jpg
Leo mchana nimefungua bonet nikakuta kama oil ina leak kwenye gari(vvti-cc 2360)2AZ engine sijui nn shida hapo hadi nadata gari ina miaka 2 toka itoke jep ikiwa na 96,000 milage ushauri tafadhali
 
Mkuu mbona unakuza tatizo?

Hiyo ni seal ya top cover na inaonekana hapo clearly kabisa.

Cylinder head inapokatikia asingeweza kupiga picha.
Namaanisha gasketi inayowekwa. kabla ya kufunga cylinder head cover, boss
 
Wala hakuna tatizo,ni kwamba umezidisha kilometres za service oil imekuwa nyepesi kama maji,Suluhisho ni kumwaga oil na kuweka mpya.

Oil huwa inakuwa nzito ukizidisha km na siyo nyepesi. Labda kama oil inachanganyika na kitu kingine kwenye gari.

Akabadili seal.
 
Asanten ntafanyia kazi swala la seal na kubadili oil maana bado kama kilometer 200 za service
 
Leo mchana nimefungua bonet nikakuta kama oil ina leak kwenye gari(vvti-cc 2360)2AZ engine sijui nn shida hapo hadi nadata gari ina miaka 2 toka itoke jep ikiwa na 96,000 milage ushauri tafadhali

Mkuu nenda tu Garage, humu tutakushauri wengi lkn kikubwa Nenda hospital ya Magari
 
Asanten ntafanyia kazi swala la seal na kubadili oil maana bado kama kilometer 200 za service
Huo sasa ni uzembe na ubahiri. Gari imeshaonyesha ishara ya tatizo, wewe unaanza kusema unasubiria km 200 zipite, huoni kuwa unaleta mazingira ya gari kukuharibikia au kuzalisha majanga makubwa zaidi?!

Issues ndogo kama hizi unazi address chap....
 
Nishasolve..nili address hii issue ili nijue pa kuanzia maana mafundi wana mambo mengi..issue sio ubahili..[emoji41]
 
Uli address vipi. Tatizo lilikua nini.
Ulibadili kifaa gan, Seal cover, Gasget? Gharama uliingia kiasi gani.
 
Back
Top Bottom