Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wao hua wanaulizaga engine imeshawahi kufunguliwa?Tatizo dogo sana hilo. Fungua Cylinder head toa gasket weka mpya. Vualaa no more leaks
Leo mchana nimefungua bonet nikakuta kama oil ina leak kwenye gari(vvti-cc 2360)2AZ engine sijui nn shida hapo hadi nadata gari ina miaka 2 toka itoke jep ikiwa na 96,000 milage ushauri tafadhali
Cylinder head gasket haikai hapo inapovujia.Vipi nguvu ya injini ukiiendesha? My guess (not a car expert) head gasket inavujisha. Lazima uende gereji.
Tatizo dogo sana hilo. Fungua Cylinder head toa gasket weka mpya. Vualaa no more leaks
Kuna watu wao hua wanaulizaga engine imeshawahi kufunguliwa?
Hivi ukitoa hiyo original inayovuja unaweza kupata ambayo itakuwa haivujishi kama ile ya original...?Badili seal ya top cover. Acha kufunga seal za bei rahisi.
Hivi ukitoa hiyo original inayovuja unaweza kupata ambayo itakuwa haivujishi kama ile ya original...?
Namaanisha gasketi inayowekwa. kabla ya kufunga cylinder head cover, bossMkuu mbona unakuza tatizo?
Hiyo ni seal ya top cover na inaonekana hapo clearly kabisa.
Cylinder head inapokatikia asingeweza kupiga picha.
Namaanisha gasketi inayowekwa. kabla ya kufunga cylinder head cover, boss
Wala hakuna tatizo,ni kwamba umezidisha kilometres za service oil imekuwa nyepesi kama maji,Suluhisho ni kumwaga oil na kuweka mpya.
Leo mchana nimefungua bonet nikakuta kama oil ina leak kwenye gari(vvti-cc 2360)2AZ engine sijui nn shida hapo hadi nadata gari ina miaka 2 toka itoke jep ikiwa na 96,000 milage ushauri tafadhali
Huo sasa ni uzembe na ubahiri. Gari imeshaonyesha ishara ya tatizo, wewe unaanza kusema unasubiria km 200 zipite, huoni kuwa unaleta mazingira ya gari kukuharibikia au kuzalisha majanga makubwa zaidi?!Asanten ntafanyia kazi swala la seal na kubadili oil maana bado kama kilometer 200 za service
Huo sasa ni uzembe na ubahiri. Gari imeshaonyesha ishara ya tatizo, wewe unaanza kusema unasubiria km 200 zipite, huoni kuwa unaleta mazingira ya gari kukuharibikia au kuzalisha majanga makubwa zaidi?!
Issues ndogo kama hizi unazi address chap....
Uli address vipi. Tatizo lilikua nini.Nishasolve..nili address hii issue ili nijue pa kuanzia maana mafundi wana mambo mengi..issue sio ubahili..[emoji41]