Hadi sasa "shimo la mnyoo" (wormhole) ni nadharia tupu. Maanake si uwongo lakini habari zake hadi sasa zatokana na makadirio na matumizi ya mantiki ya kanuni asilia pekee.Hapo hujaeleweka vizuri kuhusu hiyo shortcut ya blackholes hebu fafanua vizuri kwanini inashindikana? Na hiyo black hole inapitika?
Kuhusu idadi ya nyota kunamakadirio tu.. nyingi! Ona Nyota - Wikipedia, kamusi elezo huruInasadikika kuwa jua ni nyota ila inaoneka hivyo sababu iko Jirani nasi, kama jua ni Nyota he kuna nyota ngapi angani? Na je haziwezi kuwa Na tabia kama za jua hili? Je hakutakuwa Na mfumo kama huu Wa sayari zinazolizunguka jua? Kama zipo je sayari itakayokuwa ya Tatu, haiwezi kuwa Na hali ya hewa kama yetu?! Kama ndio kwanini kusiwe Na viumbe kama sisi?!
Kuna viumbe vingine lakini uwezekano mkubwa ni kuwa si lazime viwe viumbe kama vilivyo katika sayari yetu. Vinaweza kuwa viumbe ambavyo hatuwezekani kuviona kwa kuwa vimeumbwa tofauti. Vinaweza kuwa viumbe vyenye uelewa na maendeleo kisayansi na kiteknolojia kuliko tulivyo sisi. Miaka kadhaa inayokuja uvumbuzi wa anga za juu unaofanywa sasa hivi utatoa majibu kwa maswali haya.Sidhani Kama Mungu Aliamua Kutuweka Katika Sayari Ya Dunia Halafu Sayari Nyingine Zibaki Kama Mapambo.
Ninachoami Kwenye Hizo Sayari Nyingine Kuna Viumbe Wanaishi Na Either Wana Mungu Wao Au Ni Huyuhuyu Mungu Wa Dunia Ndiye Wanaemuabudu.. Pia Kuna Uwezekano Na Wao Pia Wana sheria Zao Za Kumtii Mungu Na Kuna Wasomi Pia Wenye Akili Na Maarifa Kutushinda Sie Wanadamu..
Nawaza Tu, Kuna Sayari Kubwa Kushinda Dunia,labda Humo Kuna Viumbe Wengi Zaidi, Ila Hatuwezi Kuwaona Kutokana Na Mpango Wa Mungu #freeman
Nakubali jibu lako kabisa. Tatizo kubwa ni wakati na umbali. Dunia yetu inakadiriwa kuwa na umri wa miaka bilioni 4.6 hivi. Kipindi cha kuwepo kwa viumbehai wanaoweza kuuliza maswali jinsi tunavyofanya hapa ni muda mfupi, labda miaka 100,000. Je, tutakaa hapa kwa muda gani tena?Kuna viumbe vingine lakini uwezekano mkubwa ni kuwa si lazime viwe viumbe kama vilivyo katika sayari yetu. Vinaweza kuwa viumbe ambavyo hatuwezekani kuviona kwa kuwa vimeumbwa tofauti. Vinaweza kuwa viumbe vyenye uelewa na maendeleo kisayansi na kiteknolojia kuliko tulivyo sisi. Miaka kadhaa inayokuja uvumbuzi wa anga za juu unaofanywa sasa hivi utatoa majibu kwa maswali haya.
Thanks Mkuu.I am talking stars, not planets.
We have gathered much of the information about planets in our local solar system. Complete with a Pluto flyby.
To get to exoplanets we need to do interstellar travel
Umbali wa Alpha Centauri, the nearest star, ni about 177,778 times umbali wa Mars.
Kwa makadirio yako hayo, tutachukua miezi 8.5 x 177,778 = miezi 1,511,111 = miaka 125,926.
Teknolojia ya sasa haipo tayari kwa interstellar travel. Hata kwa kwenda nyota iliyo karibu nasi kuliko zote.
Na kuna nyota ziko mamilioni na mabilioni ya umbali huo. Maana yake uchukue miaka 125,926 uizidishe kwa mamilioni na mabilioni.
Kwa mfano ili kwenda kwenye nyota iliyo 6 times umbali wa Alpha Centauri system, just in the neighborhood by interstellar standards.If we have to go to a star 6 times the distance to Alpha Centauri that, by your figures, will take us 755,555 years.The Milky Way Galaxy is 100,000 light years across, Alpha Centauri is just under 4.4 light years away from us, we have to go 11 times the distance to Alpha Centauri to travel half the distance across the Milky Way)
Mkuu teknolojia ya shimo la vyoo ni ya namna gani?Naomba unijuze!Nakubali jibu lako kabisa. Tatizo kubwa ni wakati na umbali. Dunia yetu inakadiriwa kuwa na umri wa miaka bilioni 4.6 hivi. Kipindi cha kuwepo kwa viumbehai wanaoweza kuuliza maswali jinsi tunavyofanya hapa ni muda mfupi, labda miaka 100,000. Je, tutakaa hapa kwa muda gani tena?
Ukiangalia umri wa sayari nyingine (hili ni swali la kuhisi tu hadi sasa) uwezekano ni mdogo ya kwamba wengine wako pamoja nasi wakati huohuo. Labda kipindi chao kimeshapita, labda bado.
Pamoja na umbali mkubwa wa miaka ya nuru uwezekano wa kuwafikia wakati wako ni mdogo zaidi. Wengi wako katika umbali ambako hatutafika kamwe - isipokuwa kama siku moja teknolojia ya "shimo la nyoo" inapatikana - jambo ambalo hadi sasa halionekani kabisa.
Mkuu amesema shimo la nyoo sio vyoo! Nami nipo pamoja na wewe kusubiri jibu la swali lako.Mkuu teknolojia ya shimo la Vyoo ni ya namna gani?Naomba unijuze!
EH. HII SCIENCE! TUSUBIRI.Mkuu amesema shimo la nyoo sio vyoo! Nami nipo pamoja na wewe kusubiri jibu la swali lako.
Na wao wana biblia yao, ila haijataja dunia yetuMbona kwenye Biblia hawajaandika kuhusu sayari nyingine zaidi ya dunia
Kinadharia, black holes kwa jinsi zinavyo distort space time inawezekana ukizipanga mbili pamoja ukapata bonge la shortcut litakalokata millions of billions of light years in distance.Hapo hujaeleweka vizuri kuhusu hiyo shortcut ya blackholes hebu fafanua vizuri kwanini inashindikana? Na hiyo black hole inapitika?
Hata Kilimanjaro haiko katika Biblia wala Qurani, ila tu hii haipungui maana yake.Mbona kwenye Biblia hawajaandika kuhusu sayari nyingine zaidi ya dunia
AHA! HA! HA !HA!Na wao wana biblia yao, ila haijataja dunia yetu
Teknolojia ya mashimo haya ni kuchimba tu, kwa koleo, pasipo na mawe mengi mno ardhini.Mkuu teknolojia ya shimo la vyoo ni ya namna gani?Naomba unijuze!
Kweli Mkuu, mi nahisi zangu hazijawa deleted kwani kuna vitu nakumbuka,ukifa unahamia sayari ingine,ila hujijua kwani memory za nyuma zinakuwa deleted
Mbali kutoka wapi? Maana ni space mwanzo mwisho.Utafiti unaonyesha kuwa hapo kwenye mwezi tu hakuna hewa ya oksijeni.Hao waliotua mwezini miaka ya 1976 back ward walijibebea hewa ya oksijeni.So kama kwenye sayari nyingine kuna viumbe kabda kwa mfumo mwingine wa maisha na sio huu kwa sababu huko hakuna hata maji. Kama mahali hakuna maji ni jangwa.Nilifurahia sana jamaa mmoja hapa jf intelligence alieleza sana akasema kama wapo viumbe wengine watakuwa sio CARBON BASED Kama sisi bali labda SILCON BASED N.K Maana yake ni kwamba wanaopumua hewa nyingine. Lakini tujiulize kama mwezini hapo karibu ukilingasha na sayari nyingine hakuna hewa je huko ipo?Ni kwa zaidi ya miaka 40 wana anga (astronauts) wanafanya utafiti na hawana majibu. So naamini kama kuna mengi yatakayofahamika kuhusu SPACE sio kwa kizazi hiki.ACHENI MUNGU AITWE MUNGU. UTUKUFU UWEZA VINA YEYE MILELE NA MILELE AMINAAA!
sayari, nyota na miezi inayo zunguka huko juu vyoote ni chakula ya BLACK HOLE .... tundu jeusi (lenye nguvu kubwa sana ya Graviti ambapo atom haiweze kusavaivu) ambalo wana sayans wameshindwa ku pambanuaSidhani Kama Mungu Aliamua Kutuweka Katika Sayari Ya Dunia Halafu Sayari Nyingine Zibaki Kama Mapambo.
Ninachoami Kwenye Hizo Sayari Nyingine Kuna Viumbe Wanaishi Na Either Wana Mungu Wao Au Ni Huyuhuyu Mungu Wa Dunia Ndiye Wanaemuabudu.. Pia Kuna Uwezekano Na Wao Pia Wana sheria Zao Za Kumtii Mungu Na Kuna Wasomi Pia Wenye Akili Na Maarifa Kutushinda Sie Wanadamu..
Nawaza Tu, Kuna Sayari Kubwa Kushinda Dunia,labda Humo Kuna Viumbe Wengi Zaidi, Ila Hatuwezi Kuwaona Kutokana Na Mpango Wa Mungu #freeman
Kuhusu shimo nyeusi: hapana si vile.sayari, nyota na miezi inayo zunguka huko juu vyoote ni chakula ya BLACK HOLE .... tundu jeusi (lenye nguvu kubwa sana ya Graviti ambapo atom haiweze kusavaivu) ambalo wana sayans wameshindwa ku pambanua