DANNFORD
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 369
- 289
Kuna vitu kama mutation na adaptations, binadamu wa kawaida anaweza kuadapt au kupata mutation itakayo mfanya aweze kuishi bila kutumia oksijeni. Mwaka 1654 Galileo Galilei alitengwa na kanisa pamoja na kufungwa kifungo cha ndani baada ya kusapoti heliocentric theory iliyosema dunia pamoja na sayari zingine ndizo zinazozunguka jua na sio jua kuizunguka dunia.Utafiti unaonyesha kuwa hapo kwenye mwezi tu hakuna hewa ya oksijeni.Hao waliotua mwezini miaka ya 1976 back ward walijibebea hewa ya oksijeni.So kama kwenye sayari nyingine kuna viumbe kabda kwa mfumo mwingine wa maisha na sio huu kwa sababu huko hakuna hata maji. Kama mahali hakuna maji ni jangwa.Nilifurahia sana jamaa mmoja hapa jf intelligence alieleza sana akasema kama wapo viumbe wengine watakuwa sio CARBON BASED Kama sisi bali labda SILCON BASED N.K Maana yake ni kwamba wanaopumua hewa nyingine. Lakini tujiulize kama mwezini hapo karibu ukilingasha na sayari nyingine hakuna hewa je huko ipo?Ni kwa zaidi ya miaka 40 wana anga (astronauts) wanafanya utafiti na hawana majibu. So naamini kama kuna mengi yatakayofahamika kuhusu SPACE sio kwa kizazi hiki.ACHENI MUNGU AITWE MUNGU. UTUKUFU UWEZA VINA YEYE MILELE NA MILELE AMINAAA!
Theory hii ilipingwa vikari na kanisa Catholic. Hata hivyo baadae walikuja kuomba msamaha na kuregret kwa kumtendea vibaya bwana Galileo. Lolote linawezekana.