Bonesmen
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 929
- 992
Sawa mkuu ila tu nilijarubu kuchambua solar yetu na ni kwamba haina sayari kumi zipo Nane pia kila kingaacho kama nyota si kuwa ni star complete zingine ni miale iliyokuwa inasafiri sasa imetumia miaka mingi kuufikia uso wa dunia miale hio huletwa na mlipuko wa supernova ,Nyota ktk galaxy yetu ya milk way ni zaidi ya million nyingi na ktk observable universe ni zaidi ya mabilions .........narudia kusema kuwa tupo peke etu ktk ulimwengu ina ukakasi but ktk solar yetu tupo alone. galaxy ni mkusanyiko wa nyotaKwenye ulimwengu kuna kitu kinaitwa Galax,ndani ya Galax kuna Systems zaidi ya million moja,Moja kati ya hizo System inaitwa Solar System(Mfumo wa Jua).hiyo Solar System ndani yake kuna sayari 10,Katika hizo sayari kumi sayari ya tatu inaitwa Dunia hii ndio yenye conditions ambazo zinaruhusu viumbe hai kuishi(Si baridi sana lkn pia si joto sana).Sasa vipi kuh hizo system zingine zilizobakia ambazo nazo zina Jua(Star) katikati na sayari zinalizunguka hilo jua,kiuhalisia lazima kutakuwa na viumbe hai pia kwenye hizo system zingine ila kwa sababu zipo mbali sana na Dunia hivyo binadamu ni ngumu kujua huko kwingine kuna nini.NB;Ukitizama juu usiku utaona nyota nyingi sana hizo ni source of power za system zingine zaidi ya million kama ilivyo jua kwenye solar system