thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,843
- 4,796
Vimondo haviwezi kuacha kuzunguka ila vinaweza kucollide vyenyewe. Labda nikupe demonstration mfano dunia ikiacha kuzunguka itavutwa na jua hivyo hata vimondo vikiacha kuorbit vitavutwa tu na sayari ambato ipo karibu nayo. Vimondo vingi pindi viingiapo kwenye anga ya dunia huungua kutokana na uwepo wa oksijen ambapo unaweza kuviona Kama shooting star. Jupita ina gravity kubwa Sana karibia Mara Tatu ya hii dunia maana kuzidiwa unamaanisha vimondo viivute jupita?Huu ukanda wa vimondo mnaozungumzia (Asteroid belt), ni lini hizi vimondo vitaacha kuanguka? je vimondo hizi zinazaliana kila kukicha? wanasayansi wanasema nini kuhusu Jupiter kuvuta Vimondo? havita jaa siku moja ikazidiwa nguzu kutokana na uwingi wa Vimondo?
Ya Ulimwengu mengi.
Haiwezekani. Kuhusu kuzaliwa kwa vimondo sina hakika ila theory ya bing bang inaweza ikaeleza na kukupa ufahamu kidogo.
Cc:Bonesmen.