Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Shikamoo dada!Kwa uelewa wangu mdogo najua Jupiter inazuia dunia isigongwe/isipitiwe na vimondo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shikamoo dada!Kwa uelewa wangu mdogo najua Jupiter inazuia dunia isigongwe/isipitiwe na vimondo
Marhaba.. Umenisalimia kutoka moyon au kwa kunisanifu??Shikamoo dada!
Ni kutoka moyoni dada yangu, napenda sana avatar yako ilivyokaa kiheshima!!..... Natamani wadada wengine pia wakuige dada!Marhaba.. Umenisalimia kutoka moyon au kwa kunisanifu??
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Ni kutoka moyoni dada yangu, napenda sana avatar yako ilivyokaa kiheshima!!..... Natamani wadada wengine pia wakuige dada!
Hakuna aliekanyaga ardhi ya mwezini kwanzaUtafiti unaonyesha kuwa hapo kwenye mwezi tu hakuna hewa ya oksijeni.Hao waliotua mwezini miaka ya 1976 back ward walijibebea hewa ya oksijeni.So kama kwenye sayari nyingine kuna viumbe kabda kwa mfumo mwingine wa maisha na sio huu kwa sababu huko hakuna hata maji. Kama mahali hakuna maji ni jangwa.Nilifurahia sana jamaa mmoja hapa jf intelligence alieleza sana akasema kama wapo viumbe wengine watakuwa sio CARBON BASED Kama sisi bali labda SILCON BASED N.K Maana yake ni kwamba wanaopumua hewa nyingine. Lakini tujiulize kama mwezini hapo karibu ukilingasha na sayari nyingine hakuna hewa je huko ipo?Ni kwa zaidi ya miaka 40 wana anga (astronauts) wanafanya utafiti na hawana majibu. So naamini kama kuna mengi yatakayofahamika kuhusu SPACE sio kwa kizazi hiki.ACHENI MUNGU AITWE MUNGU. UTUKUFU UWEZA VINA YEYE MILELE NA MILELE AMINAAA!
Sidhani kama ni sawa kusema kama haviko sawa na sisi sio viumbe tena. Nafikiri itabidi utupe maana yako ya viumbe kabla ya mtu kuelewa unachomaanisha.Basi kama haviko sawa na sisi hivyo sio viumbe tena! Mleta mada ameulizia kama kuna viumbe wengine nami nimemjibu kutokana na alivyouliza....
Hizo sayari zinaleta stability katika mfumo wa Jua katika kuchangia nguvu za uvutano. Ikiondoka hata sayari moja Dunia yetu na mfumo mzima utayumba.nachokiamin mimi huko nako kuna viumbe ila hatuwez kuwaona na wao wanaendana na mazingira ya huko,sitak kuamin kama pluto,jupiter n.k ni mapambo tu
Hivi mtu akitaka kujua kitu ina maana hataki Mungu aitwe Mungu? Au hiki kibwagizo kina maanisha nini!Utafiti unaonyesha kuwa hapo kwenye mwezi tu hakuna hewa ya oksijeni.Hao waliotua mwezini miaka ya 1976 back ward walijibebea hewa ya oksijeni.So kama kwenye sayari nyingine kuna viumbe kabda kwa mfumo mwingine wa maisha na sio huu kwa sababu huko hakuna hata maji. Kama mahali hakuna maji ni jangwa.Nilifurahia sana jamaa mmoja hapa jf intelligence alieleza sana akasema kama wapo viumbe wengine watakuwa sio CARBON BASED Kama sisi bali labda SILCON BASED N.K Maana yake ni kwamba wanaopumua hewa nyingine. Lakini tujiulize kama mwezini hapo karibu ukilingasha na sayari nyingine hakuna hewa je huko ipo?Ni kwa zaidi ya miaka 40 wana anga (astronauts) wanafanya utafiti na hawana majibu. So naamini kama kuna mengi yatakayofahamika kuhusu SPACE sio kwa kizazi hiki.ACHENI MUNGU AITWE MUNGU. UTUKUFU UWEZA VINA YEYE MILELE NA MILELE AMINAAA!
Wapo ESA pia wanafuatilia haya mambo, Warusi, wajapani na wachina.Utaamini vipi kila ambacho NASA inasema? what if they lie some things about Universe and solar systems?
mwanzo walikuwa wanasema kuhusu sayari tisa na Jua lake na mwezi, lakini sasa hivi unaambiwa kuhusiana na Galaxies, Planet X na hata nyota nyinginezo. what if kuna sayari nyingine nyingi na aina mbalimbali ya watu na viumbe kama kryptonians, Aliens na wengineo ambao tunaanza wakiwamanifest kwenye vitabu, tamthilia na Filamu? maana naona namna NASA pekee wana bidii sana kufuatilia haya mambo kiundani zaidi..
Hapo umezungumzia oxygen-carbon based life peke yake. Kuna uwezekano wa kuwepo viumbe zaidi ya haokutokana na hali ya kimazingila kiumbe kilocho umbwa kwa mfumo wa upumuaji lazima kinatumia oxgyen au carbondioxide na ndo hewa zinazo patikana kwenye dunia ndio maana viumbe walipo ingia katika sayar hizi walistahimili kwenye dunia mpaka sasa hizo sayari nyingine zina surface lakin hewa ndo sio rafiki kwa binadam na viumbe hai ingawa labda kidogo sayar ya MARS
Nje ya Duniahivi tuko ndani ya dunia au nje ya dunia?
Sijakuelewa uliposema universe ni mahali dangerous kwa viumbe hai umemaanisha nini?Acha hewa udongo wa mars unaweza kukuuwa coz unakiwango kikubwa cha kemikali.all in all universe ni mahari ambabo papo very dangerous kwa kiumbe hai.
Huo ndo ukweli wenyewe, ndo maana mtoto akizaliwa huingia duniani kwa kulia ilhali wale anaowakuta wanafurahi ina maana analia kwa sababu ameacha watu aliokuwa amewazoea nao huko wanalia, kama mtoto hakulia wakati wa kuzaliwa haiwezi kuishi, inabdi afe ili kurudi huko alikotoka.ukifa unahamia sayari ingine,ila hujijua kwani memory za nyuma zinakuwa deleted
Ukiona hivyo fahamu ni BIG LIES in the name of Conspiracy Theories kama ilivyo kwa issue za Aliens and UFO!MBONA MATUKIO KAMA HAYO HAYATANGAZWI WAZI MF. KWENYE DIRA YA DUNIA B.B.C N.K KUNA SIRI GANI?
Mawazo rahisi ya kibinadamu. Miaka elfu moja ijayo mtu akisoma comment yako atashangaa sana jinsi kizazi hiki kilivyokuwa na uwezo mdogo kutafakuriSayari moja tu katika mfumo wa jua ndio ina viumbe hai nyingine zote hazina kutokana na environmental conditions zao!