Utaamini vipi kila ambacho NASA inasema? what if they lie some things about Universe and solar systems?
mwanzo walikuwa wanasema kuhusu sayari tisa na Jua lake na mwezi, lakini sasa hivi unaambiwa kuhusiana na Galaxies, Planet X na hata nyota nyinginezo. what if kuna sayari nyingine nyingi na aina mbalimbali ya watu na viumbe kama kryptonians, Aliens na wengineo ambao tunaanza wakiwamanifest kwenye vitabu, tamthilia na Filamu? maana naona namna NASA pekee wana bidii sana kufuatilia haya mambo kiundani zaidi..