Benny
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 3,275
- 5,404
Aisee Karibu MkuuMkuu unawaza kama mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee Karibu MkuuMkuu unawaza kama mimi
Sawa mkuu ila tu nilijarubu kuchambua solar yetu na ni kwamba haina sayari kumi zipo Nane pia kila kingaacho kama nyota si kuwa ni star complete zingine ni miale iliyokuwa inasafiri sasa imetumia miaka mingi kuufikia uso wa dunia miale hio huletwa na mlipuko wa supernova ,Nyota ktk galaxy yetu ya milk way ni zaidi ya million nyingi na ktk observable universe ni zaidi ya mabilions .........narudia kusema kuwa tupo peke etu ktk ulimwengu ina ukakasi but ktk solar yetu tupo alone. galaxy ni mkusanyiko wa nyota
Vizazi vyetu vitakavyokuwepo wakAti huo, kama ile move ya interstellar, walianza wakina matt Damon na LAZARUS"" wakawa wanatuma signals kwa kutumia beacons ,then wakina copper na wenzake wakafuatilia na kumalizia mchezo kwa ku-solve puzzleHaha you have made me laugh my friend. Wanasayansi wanasema mwanga tu unachukua miaka milioni kibao(light years) kufika na unajua hakuna kitu chenye kasi zaidi ya mwanga mpaka sasa. Je binadamu tutafika baada ya muda gani huko kwa hizi space ships zetu? Na hata ikitumwa kwenda kwenye nyota nyingine ikifika na kurudi itamletea nani taarifa maana wote tutakuwa tumeshakufa.
Kuna sehem nlisoma , wanadai mpaka sasa hakuna binadam amefika mwezini kutokana na mazingira yake. Na zile picha wanatuonyesha ni za uongo, zilichukuliwa area 51 nako kuna gravitation force ndogo, nlishindwa kukubali wala kukataa. mkuu kama unajua lolote tafazali saidia hapaKwani neno kiumbe maana yake nini? Mungu ameumba viumbe tunavyoweza kuviona na tusivyoweza kuviona, tena hata tunavyoweza kuviona anaruhusu mwenyewe kuviona/kuvumbua/gundua kutokana na wakati. Mfano Mwanzo ilijulikana dunia ni kama meza, kumbe ni mviringo. Kuna watu walitangaza laana kwa wale walokwenda kwenye mwezi kwa kuwa wanaenda kumchokoza kwenye makao yake, walifikiri mbinguni ni juu ya utosi wao, leo ni safari za kawaida. Na vyombo vya masafa vipo zaidi ya Pluto sayari iliyozaniwa ni ya mwisho kumbe zipo nyingine kibao kwa jina la Gallaxy, kuna wakati Joshua 'alisimamisha jua', kumbe dunia ndo iliacha kuzunguka, jua halitembei wala kuzunguka!Mungu hashindwi kitu, Funguka ufahamu!kuna viumbe kama nyungunyungu wanaishi ardhini,hewa wanapate, lkn wanaishi,kuna bacteria,virus etc, mfumo wao wa kuishi ni tofauti kabisa na sisi, funza chooni, seal chini ya maji ambayo juu yameganda barafu huko Canada, Alaska nk. Wameanza kuonekana UFO, Alliens nk. Kuna Wanefil na Waanaki nk. Je majini,Shetani,Maroho,Mizimu,Voudoo, Angles etc. Nenda kwa ma Yoga na Budhaa(google) huko ndo utachanganyikiwa! Naamini, vile Mungu aliziumba hizo sayari pia kunaweza kuwa kuna viumbe vya namna yake, ni jambo ka wakati tu kuvigundua tena pale atakapotufunulia Yeye.
Tukasome wapiKasome kitabu kinaitwa Thiaoouba Prophecy
We do not have the energy. It is crazy far.
The closest star is the Alpha Centauri system, it takes light 4.367 years to get there from here.
And light travels at about 300,000 km per second. Do the math.
Na hiyo ni nyoya ya karibu tu, kuna nyingine ziko mbali mara bilioni ya hii.
Ona hapa
How long would it take to get to Alpha Centauri? | EarthSky.org
Kuna dogo alisoma Purdue, Chuo alichosoma Neil Armstrong (the first person to walkbon the moon). Anasema walijadili sana hili. Wakaja ku conclude kwamba kama kweli Wamarekani hawakukanyaga mwezini, kipindi kile kulikuwa na ushindani sana kati ya Wamarekani na Warusi. Warusi walikuwa na mawasiliano karibu yote ya Wamarekani ambao walikuwa wahasimu wao.Kuna sehem nlisoma , wanadai mpaka sasa hakuna binadam amefika mwezini kutokana na mazingira yake. Na zile picha wanatuonyesha ni za uongo, zilichukuliwa area 51 nako kuna gravitation force ndogo, nlishindwa kukubali wala kukataa. mkuu kama unajua lolote tafazali saidia hapa
kazi ya jupiter ni kubwa sana yaani inatuzuia tusije pata mvua ya vimondo hiyo ni kutokana gravity yake...
Asante sana mkuu, ngoja nami nijaribu kufatiliaKuna dogo alisoma Purdue, Chuo alichosoma Neil Armstrong (the first person to walkbon the moon). Anasema walijadili sana hili. Wakaja ku conclude kwamba kama kweli Wamarekani hawakukanyaga mwezini, kipindi kile kulikuwa na ushindani sana kati ya Wamarekani na Warusi. Warusi walikuwa na mawasiliano karibu yote ya Wamarekani ambao walikuwa wahasimu wao.
Kulikuwa na ushindani wa jadi wa "Space War" kati ya Warusi na Wamarekani. Ikumbukwe kwamba Warusi waliwahi kufika anga za huu na Yuri Gagarin kabla ya Wamarekani. Kwa hiyo, kama Wamarekani wangekuwa wame fake hiyo moon landing, Warusi wangewa expose kuinyesh uongi wao.
The moon is actually very near when you put things in perspective. It is actually our doorstep.
The fact that one would think we can't get there and would fake a moon landing says more about the sense of pessimism and ignorance if that person than anything else.
Since we started broadcast (Marconi), the signals have traveled about 200 light years.
Why would a trip to our doorstep surprise anyone?
Frankly I would be surprised if with all the tech we have, we have not ventured to the moon.
Kuna maelfu ya sayari zimegunduliwa zikizunguka nyota (jua ni nyota).
Na makaditio ni kwamba kuna mabilioni ya sayari katika ulimwengu, ambazo kati ya hizo, mamilioni zina uwezekano wa kuwa na conditions kama za dunia.
Swadakta.....We do not have the energy. It is crazy far.
The closest star is the Alpha Centauri system, it takes light 4.367 years to get there from here.
And light travels at about 300,000 km per second. Do the math.
Na hiyo ni nyota ya karibu tu, kuna nyingine ziko mbali mara bilioni ya hii.
Ona hapa
How long would it take to get to Alpha Centauri? | EarthSky.org
Kwa hali hiyo ni kitu hakiwezekani.hata wakigundua chombo chenye kasi mara milioni moja ya kasi ya mwanga muda wa kufika huko ni zaidi ya miaka mia maisha ya huyo binadamu yatakuwa yameishia njiani!Hivyo hilo libaki kwenye mawazo tu! kwanza hatutakiwi kufika huko. Sisi tusubiri nchi ya ahadi tu!!!!
According to what have already been reported until now haiwezekani. Labda in a spiritual world ambapo roho inaweza kwenda umbali mkubwa sana in just a matter of eye twinkling.Kwa hali hiyo ni kitu hakiwezekani.hata wakigundua chombo chenye kasi mara milioni moja ya kasi ya mwanga muda wa kufika huko ni zaidi ya miaka mia maisha ya huyo binadamu yatakuwa yameishia njiani!Hivyo hilo libaki kwenye mawazo tu! kwanza hatutakiwi kufika huko. Sisi tusubiri nchi ya ahadi tu!!!!
Dah, umewaza mbali mkuu.
Mkuu ulivyouliza nimebaki nacheka tu.......mchango wa jamaa ni balaa.Chai hii...cjui umesoma hadi langapi
Hii haijathibitishwa
Hapo hujaeleweka vizuri kuhusu hiyo shortcut ya blackholes hebu fafanua vizuri kwanini inashindikana? Na hiyo black hole inapitika?in theory some wormholes joining two black holes are possible shortcuts.
But the technology to navigate through them is even more complicated than anything we can think of thinking of in the next hundred years.