Nini kazi ya hizo Sayari zilizobaki ukiondoa Dunia?

nachokiamin mimi huko nako kuna viumbe ila hatuwez kuwaona na wao wanaendana na mazingira ya huko,sitak kuamin kama pluto,jupiter n.k ni mapambo tu

Lakin Ukifikiri Kwa Kina Kama Kuna Ukweli Flan Hapa, Sema Tu, Tumekaririshwa Et Sayar Ya Dunia Tu Ndo Ina Viumbe, Kwa Hiyo Sayari Zoooooote Zilizobaki Ni Mapambo? Nakuunga Mkono Mkuu Huko Sayar Zingine Kuna Viumbe Vingine Tena Wanaishi Na Kuabudu.
 
hiki kitu nilikuwa nakifkiria kwa muda mrefu sana.... kinachanganya.

nahisi uwezekano upo
 
Na hawaitaji kuonekana pia maana mna tabia ya umbea!!!
 
Zitakuwa zinasababu au nazo ni viumbe tu kama tulivyo sisi
 

Aliens wanataka kutujambia tu. Wale panya bwana, wana tabia za kijinga wakati mwingine? Mara wanatubaka, wakiboreka...wanakuja kutujambia na kutuchanja bila sababu.
 
Basi kama haviko sawa na sisi hivyo sio viumbe tena! Mleta mada ameulizia kama kuna viumbe wengine nami nimemjibu kutokana na alivyouliza....
mkuu unajua maana ya kiumbe nikiwa kama mwalim wa kiswahili nimekuja kukosoa hili tu kiumbe ni chohote kilichoumbwa ina maana tunaposema mungu aliumba dunia na vilivyomo kila kitu ni kiumbe
ila kuna viummbe hai viumbe hai wapo hawa pia tunawaju mimea wanyama nk
 
Nakumbuka miaka ya 90'alianguka MTU mmoja pande za USA ,MTU yule alikua was ajabu mpaka rais wa marekani Bush alikua wa ajabu ss labda alitoka pande za sayari mojawapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…