Hapo kwenye mabano sijaelewa.... Au ulimaanisha nn?Nakumbuka miaka ya 90'alianguka MTU mmoja pande za USA ,MTU yule alikua was ajabu (mpaka rais wa marekani Bush alikua wa ajabu) ss labda alitoka pande za sayari mojawapo
MBONA MATUKIO KAMA HAYO HAYATANGAZWI WAZI MF. KWENYE DIRA YA DUNIA B.B.C N.K KUNA SIRI GANI?Nakumbuka miaka ya 90'alianguka MTU mmoja pande za USA ,MTU yule alikua was ajabu mpaka rais wa marekani Bush alikua wa ajabu ss labda alitoka pande za sayari mojawapo
HUWEZI KU JUDGE UPANDE JUA LILIPO UKIWA DUNIANI KWA SABABU JUA NI CENTER YA SOLAR SYSTERM NA DUNIA INALIZUNGUKA SO MI NADHANI HAKUNA UPANDE ANGANI KWA SABABU ANGA HALINA CENTER. WE ONA TU UKIWA BAHARINI HAPA HAPA DUNIANI HUWEZI HUWEZI TAMBUA MASHARIKI AU UPANDE WOWOTE MPAKA UWE NA DIRA (CHOMBO) any way!! ni mawazo yangu tu !Tungeanza kujua dunia inafanyaje kazi tena kwa ushahidi wa kuonekana hili swali tungelijibu!! Mfano tujiulize:-
1. Why gravitational force?
2. Is the world spherical?
3. If spherical jua lipo upande gan mwa dunia? Cz hakuna juu ya dunia...,
4. Ni how valid is corriolis and centrifugal force?
N. K n.k n.k....si maswali mepesi, geographers wanajua.
HUWEZI KU JUDGE UPANDE JUA LILIPO UKIWA DUNIANI KWA SABABU JUA NI CENTER YA SOLAR SYSTERM NA DUNIA INALIZUNGUKA SO MI NADHANI HAKUNA UPANDE ANGANI KWA SABABU ANGA HALINA CENTER. WE ONA TU UKIWA BAHARINI HAPA HAPA DUNIANI HUWEZI HUWEZI TAMBUA MASHARIKI AU UPANDE WOWOTE MPAKA UWE NA DIRA (CHOMBO) any way!! ni mawazo yangu tu !
Mara nyingine tunaamini maana ujanja wetu ngozi nyeusi ni mdogo sana. Angalia hata exploration karne 18 ,19 na 20 hakuna mweusi hata mmoja tunasikia tu wakina Vasco da gama wareno.Ndo kusema kama wasingechakarika humu humu duniani tusingejua kuwa OVERSEAS KUNA WENZETU. TUNGEBAKIA KUJUA Songea na Mwanza tu.Utaamini vipi kila ambacho NASA inasema? what if they lie some things about Universe and solar systems?
mwanzo walikuwa wanasema kuhusu sayari tisa na Jua lake na mwezi, lakini sasa hivi unaambiwa kuhusiana na Galaxies, Planet X na hata nyota nyinginezo. what if kuna sayari nyingine nyingi na aina mbalimbali ya watu na viumbe kama kryptonians, Aliens na wengineo ambao tunaanza wakiwamanifest kwenye vitabu, tamthilia na Filamu? maana naona namna NASA pekee wana bidii sana kufuatilia haya mambo kiundani zaidi..
hivi tuko ndani ya dunia au nje ya dunia?Sayari nyingine ni just gases. Kwa mfano Jupiter is just gas. Mars inasemekana zamani watu walikuwa wanaishi,wakapigana,wakaiharibu,wakahama. Lakini hata sasa wanaweza kuwepo watu Mars ndani ya sayari,kama vile ambavyo wapo watundani ya dunia.
Acha hewa udongo wa mars unaweza kukuuwa coz unakiwango kikubwa cha kemikali.all in all universe ni mahari ambabo papo very dangerous kwa kiumbe hai.kutokana na hali ya kimazingila kiumbe kilocho umbwa kwa mfumo wa upumuaji lazima kinatumia oxgyen au carbondioxide na ndo hewa zinazo patikana kwenye dunia ndio maana viumbe walipo ingia katika sayar hizi walistahimili kwenye dunia mpaka sasa hizo sayari nyingine zina surface lakin hewa ndo sio rafiki kwa binadam na viumbe hai ingawa labda kidogo sayar ya MARS
Mkuu simple kiasi hicho?,wakapigana wakaiharibu wakahama mhh!!!Sayari nyingine ni just gases. Kwa mfano Jupiter is just gas. Mars inasemekana zamani watu walikuwa wanaishi,wakapigana,wakaiharibu,wakahama. Lakini hata sasa wanaweza kuwepo watu Mars ndani ya sayari,kama vile ambavyo wapo watundani ya dunia.
Tuko juu ya dunia.hivi tuko ndani ya dunia au nje ya dunia?
Kiumbehai yupi unaemwongelea! Hapahapa duniani kuna sehemu huwezi ishi lakn kuna viumbe wengine wanaishi"Acha hewa udongo wa mars unaweza kukuuwa coz unakiwango kikubwa cha kemikali.all in all universe ni mahari ambabo papo very dangerous kwa kiumbe hai.
Mkuu simple kiasi hicho?,wakapigana wakaiharibu wakahama mhh!!!
Wakahamia wapi sasa? Sisi mbona tunapigana kila leo ila hatuhami sayari yetu hii ya dunia?
Za kuambiwa changanya na zako mkuu[/QUO
We do not have the energy. It is crazy far.
The closest star is the Alpha Centauri system, it takes light 4.367 years to get there from here.
And light travels at about 300,000 km per second. Do the math.
Na hiyo ni nyoya ya karibu tu, kuna nyingine ziko mbali mara bilioni ya hii.
Ona hapa
How long would it take to get to Alpha Centauri? | EarthSky.org