Huyu chiembe mpuuzi sanaAcha kutisha na kudanganya watu kama una ugomvi binafsi na JPM sababu ndugu zako walikuwa mafisadi utulie akili zikusogee
Hehee vimeo mkifungua bwawa pongezi zote kwa mama,,, kikinuka la JPM ......marehemu atawatesa sana hadi huko kaburiniAkafukuliwe mshamba aliyelazimisha hili bwawa kujengwa, tumchome moto.
Uzuzu nao un shida.'The Rufiji Saga: Dunia inasubiri mafuriko ya kwanza kufagia wanyama wote mbugani? Nini kesho ya mbuga ya Selous?'
Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa sababu aliyetufikisha hapa hayupo
Wali-underestimate kiwango cha mvua...
Mategemeo ilikuwa bwawa lijae kwa miaka kadhaa kutokana na uhaba wa mvua...
Kilichotokea, mvua za mwaka huu tu tayari zimeshajaza bwawa...
Na lilikokuwa linaelekea ni kuover-flow...
Kitendo cha ku overflow kingesababisha maji yatoke kwa kasi kubwa na kuleta maaafa makubwa kwa wananchi wa rufiji..
Ikawa hakuna namna zaidi ya kuyafungulia kidogo kidogo..
Ndo maana ukipita maeneo ya rufiji nyumba za raia zimemezwa na maji...
Waiter ongeza round ingine hapa tumalizie sunday...
ππππ CCM mbele kwa mbeleSerikali inatarajia kufungua geti lingine kuanzia Leo Kwa kiasi cha lita 700,000 Kwa dakika moja na pia kumbuka hili bwawa Lina mageti 9 ambayo nayo yaneshajaa maji Hadi...
Ndugu zetu wa rufiji wapo kwenye wakati ngumu Sana na mafuriko, kama wiki inayoanza kesho itakuwa na mvua mkubwa basi maafa yatakuwa makubwa mno na ikitokea siku hayo mageti 9 yakipausuka itakuwa mwisho wa wilaya ya rufiji
Kuna Profesa Raphael Mwalyosi aliyaona haya akaambiwa anatumika na mabeberu!'The Rufiji Saga: Dunia inasubiri mafuriko ya kwanza kufagia wanyama wote mbugani? Nini kesho ya mbuga ya Selous?'
Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa sababu aliyetufikisha hapa hayupo
Mungu ni mwema mambo yote yanaenda sawa'The Rufiji Saga: Dunia inasubiri mafuriko ya kwanza kufagia wanyama wote mbugani? Nini kesho ya mbuga ya Selous?'
Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa sababu aliyetufikisha hapa hayupo
Bora akili za kuvukia barabara mkuu wana akili ya kujua njia ya chooni tuHakuna mtu aliewafikisha hapo zaidi ya akili zenu za kuvukia barabara.
Hivi majinga majinga siku hizi kama hili jamaaa yanatoka wapi .......we jamaa ni sehemu za siri sana wewe tena wewe sehemu za siri za mwanamke'The Rufiji Saga: Dunia inasubiri mafuriko ya kwanza kufagia wanyama wote mbugani? Nini kesho ya mbuga ya Selous?'
Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa sababu aliyetufikisha hapa hayupo
'The Rufiji Saga: Dunia inasubiri mafuriko ya kwanza kufagia wanyama wote mbugani? Nini kesho ya mbuga ya Selous?'
Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa sababu aliyetufikisha hapa hayupo
Hata katika research lazima uanze na statement of the problem, nini lalamiko katika jamiiwatanzania kama tuna laana vile. kama unataka hela za bure, nenda kaombe huo msaada. Tunahitaji people capable of providing solutions. Sio kulalamika kama watoto wachanga kila siku
Jibu hoja acha kuleta stori za wafu,Hazina Msaada Kwa Sasa licha ya hO wafu kutufikisha hapa kwenye balaa.Acha kutisha na kudanganya watu kama una ugomvi binafsi na JPM sababu ndugu zako walikuwa mafisadi utulie akili zikusogee