Nini kifanyike Bunge lirudi kufanya kazi yake na wananchi waanze kulifuatilia?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Bunge linaendelea Bungeni Lakini vyombo vya HABARI ni kama wamesusa au Wabunge wamekosa hoja.

Sidhani kama Kwa kinachoendelea Kuna umuhimu wa Bunge. Hadhi ya Wabunge imeshuka Sana, hakuna anayefahamu kama Mbunge wake yupo aubkadoji bungeni. Wakisinzia pia camera zinaogopa kuwafotoa yaan ni crisis

Tunarudisha VIPI Bunge Liwe chombo Cha wananchi,
 
Pamoja waliondoa "Bunge Live" kwa maana ya kwamba hawataki mijadala ya bungeni iwe reported live Ila ni wazi kwamba kitengo cha Habari na mawasiliano ya umma kwa Bunge kimeshindwa kufanya kazi yake ipsavyo ni heri wajirekebishe.

Taarifa ya Bunge ni uchaguzi pekee na kujiuzulu speaker mengine yote yanawekwa kapuni.

Bunge la namna hii sio Bunge, hawataki waonyeshwe live the way wwnavyoropoka kama wajinga wakiwa bungeni wengine wanakuja na hangover wanalala tu mle ndani.

Kimsingi hakuna sababu ya kuondoa bunge live maana miaka yote hata kabla ya kuwepo television tulikuwa tunasikiliza kupitia radio.

Ni wazi kwamba kitengo Cha habari wajikague upya.
 
Bunge limekosa thamani!Walianza Kwa kuliminya lisiruke live,baadaye wakaona haitoshi wakakataka wabaki CCM Peke Yao!Imekuwa hivyo,Sasa wananchi wamelipuuza,hata vyombo vya habari vimeona habari za Bunge haziuziki Kwa wananchi!
 
Bunge linaendelea Bungeni Lakini vyombo vya HABARI ni kama wamesusa au Wabunge wamekosa hoja.

Sidhani kama Kwa kinachoendelea Kuna umuhimu wa Bunge. Hadhi ya Wabunge imeshuka Sana, hakuna anayefahamu kama Mbunge wake yupo aubkadoji bungeni. Wakisinzia pia camera zinaogopa kuwafotoa yaan ni crisis

Tunarudisha VIPI Bunge Liwe chombo Cha wananchi,
Covid waondoke, walioingia kwa uchafuzi waaondoke, katiba mpya ipatikane, tumehuru ipatikane, kampeni huru zifanyike, uchaguzi huru ufanyike na matokeo sahihi yatangazwe🤔.
 
Bunge linaendelea Bungeni Lakini vyombo vya HABARI ni kama wamesusa au Wabunge wamekosa hoja.

Sidhani kama Kwa kinachoendelea Kuna umuhimu wa Bunge. Hadhi ya Wabunge imeshuka Sana, hakuna anayefahamu kama Mbunge wake yupo aubkadoji bungeni. Wakisinzia pia camera zinaogopa kuwafotoa yaan ni crisis

Tunarudisha VIPI Bunge Liwe chombo Cha wananchi,
Tena huyu binti ndiye atakuwa dictator mkubwa kuliko Ndugai
 
Bunge linaendelea Bungeni Lakini vyombo vya HABARI ni kama wamesusa au Wabunge wamekosa hoja.

Sidhani kama Kwa kinachoendelea Kuna umuhimu wa Bunge. Hadhi ya Wabunge imeshuka Sana, hakuna anayefahamu kama Mbunge wake yupo aubkadoji bungeni. Wakisinzia pia camera zinaogopa kuwafotoa yaan ni crisis

Tunarudisha VIPI Bunge Liwe chombo Cha wananchi,
Like siyo bunge ,Bali wale ni wajumbe wa CCM,
Cha muhimu uitishwe uchaguzi upya ili tuchague WABUNGE.
 
Bunge ambalo 100 % ya wabunge wanampigia kura mgombea mmoja linastahili kupuuzwa. Hasa baada ya mgombea wao kuwaambiq kuwa wao kazi yao kubwa ni kuwa daraja kati ya wananchi na serikali ambayo mkubwa wake ni mkubwa wao wote. Daraja ni kiunganishi tu na halina mchango wowote au maoni yeyote kuhusu mzigo unaopitishwa nje ya kuvunjika mzigo ukizidi.

Amandla...
 
Bunge linaendelea Bungeni Lakini vyombo vya HABARI ni kama wamesusa au Wabunge wamekosa hoja.

Sidhani kama Kwa kinachoendelea Kuna umuhimu wa Bunge. Hadhi ya Wabunge imeshuka Sana, hakuna anayefahamu kama Mbunge wake yupo aubkadoji bungeni. Wakisinzia pia camera zinaogopa kuwafotoa yaan ni crisis

Tunarudisha VIPI Bunge Liwe chombo Cha wananchi,
kinachoendelea dodoma ni sawa tu na vikao vya uvccm kujadili mambo ya chama na namna ya kudhibiti wapinzani hakuna jipya
 
Bunge linaendelea Bungeni Lakini vyombo vya HABARI ni kama wamesusa au Wabunge wamekosa hoja.

Sidhani kama Kwa kinachoendelea Kuna umuhimu wa Bunge. Hadhi ya Wabunge imeshuka Sana, hakuna anayefahamu kama Mbunge wake yupo aubkadoji bungeni. Wakisinzia pia camera zinaogopa kuwafotoa yaan ni crisis

Tunarudisha VIPI Bunge Liwe chombo Cha wananchi,

Nakubaliana na hoja ya hapo juu kwamba ili bunge kurudisha hadhi yake ,kwanza ni lazima lioneshe kuheshimu katiba ambayo wabunge wanaapa kuilinda na kuitetea. Hawawezi kuwa wanaheshimu katiba huku kati yao wanakaa na wabunge ambao sio halali.

Spika mpya ili kuonesha umahili wa kuielewa katiba, jambo la kwanza analotakiwa kulikabili ni kuwaondoa hao wanawake 19 ambao hawana uhalali wa kuwa bungeni!! Akifanya hivyo ataonesha kuwa yupo hapo kweli kuilinda na kuitetea katiba iliyomuweka hapo.
 
Bunge halina mvuto kabisa! Mtu na akili yako huwezi kufuatilia mapambio ya kisiasa bali hoja za kujenga maisha ya wananchi na kulinda rasilimali za nchi!
 
Hivi kumbe kuna bunge Tanzania! stop joking Bwana! yaani kweli ninaweza kuangalia Bunge Tanzania nikakuta vitu kama vya Nancy Pelosi speaker wa US against President in office tena Trump, au kikaango cha Premier Johnson wa UK kutokuwa na imani naye au tufanye huko ni mbali, basi angalau demokrasia changa ya majirani zetu Kenya ya kufanyia vetting Constitutional posts, kwa mfano vetting ya former DPP Kerako Tobiko then Noordin Haji ? Stop joking bwana ni Samwel Sitta tu ndio alijaribu the rest can take a century to emulate him.
 
Bunge linaendelea Bungeni Lakini vyombo vya HABARI ni kama wamesusa au Wabunge wamekosa hoja.

Sidhani kama Kwa kinachoendelea Kuna umuhimu wa Bunge. Hadhi ya Wabunge imeshuka Sana, hakuna anayefahamu kama Mbunge wake yupo aubkadoji bungeni. Wakisinzia pia camera zinaogopa kuwafotoa yaan ni crisis

Tunarudisha VIPI Bunge Liwe chombo Cha wananchi,
Wabunge wameteuliwa na NEC wakishirikiana na poris.Sio wawakilishi wa wananchi.Karibia wote walipitishwa bila kupingwa na NEC.

Wananchi waruhusiwe kuchagua wabunge wao.Kura za wananchi ziheshimiwe.NEC iache kuengua wagombea na kubatilisha kura.
 
Hata wasipo tolewa Habari mijadala yao ni sawa tu. Ndo wanavyotaka, bunge halina mvuto wa kulisikiliza kama ilivyokuwa kipindi lina wapinzani 71 wa kulipa changamoto.
 
Back
Top Bottom