Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Covid waondoke, walioingia kwa uchafuzi waaondoke, katiba mpya ipatikane, tumehuru ipatikane, kampeni huru zifanyike, uchaguzi huru ufanyike na matokeo sahihi yatangazwe🤔.Bunge linaendelea Bungeni Lakini vyombo vya HABARI ni kama wamesusa au Wabunge wamekosa hoja.
Sidhani kama Kwa kinachoendelea Kuna umuhimu wa Bunge. Hadhi ya Wabunge imeshuka Sana, hakuna anayefahamu kama Mbunge wake yupo aubkadoji bungeni. Wakisinzia pia camera zinaogopa kuwafotoa yaan ni crisis
Tunarudisha VIPI Bunge Liwe chombo Cha wananchi,
Tena huyu binti ndiye atakuwa dictator mkubwa kuliko NdugaiBunge linaendelea Bungeni Lakini vyombo vya HABARI ni kama wamesusa au Wabunge wamekosa hoja.
Sidhani kama Kwa kinachoendelea Kuna umuhimu wa Bunge. Hadhi ya Wabunge imeshuka Sana, hakuna anayefahamu kama Mbunge wake yupo aubkadoji bungeni. Wakisinzia pia camera zinaogopa kuwafotoa yaan ni crisis
Tunarudisha VIPI Bunge Liwe chombo Cha wananchi,
Like siyo bunge ,Bali wale ni wajumbe wa CCM,Bunge linaendelea Bungeni Lakini vyombo vya HABARI ni kama wamesusa au Wabunge wamekosa hoja.
Sidhani kama Kwa kinachoendelea Kuna umuhimu wa Bunge. Hadhi ya Wabunge imeshuka Sana, hakuna anayefahamu kama Mbunge wake yupo aubkadoji bungeni. Wakisinzia pia camera zinaogopa kuwafotoa yaan ni crisis
Tunarudisha VIPI Bunge Liwe chombo Cha wananchi,
kinachoendelea dodoma ni sawa tu na vikao vya uvccm kujadili mambo ya chama na namna ya kudhibiti wapinzani hakuna jipyaBunge linaendelea Bungeni Lakini vyombo vya HABARI ni kama wamesusa au Wabunge wamekosa hoja.
Sidhani kama Kwa kinachoendelea Kuna umuhimu wa Bunge. Hadhi ya Wabunge imeshuka Sana, hakuna anayefahamu kama Mbunge wake yupo aubkadoji bungeni. Wakisinzia pia camera zinaogopa kuwafotoa yaan ni crisis
Tunarudisha VIPI Bunge Liwe chombo Cha wananchi,
Bunge linaendelea Bungeni Lakini vyombo vya HABARI ni kama wamesusa au Wabunge wamekosa hoja.
Sidhani kama Kwa kinachoendelea Kuna umuhimu wa Bunge. Hadhi ya Wabunge imeshuka Sana, hakuna anayefahamu kama Mbunge wake yupo aubkadoji bungeni. Wakisinzia pia camera zinaogopa kuwafotoa yaan ni crisis
Tunarudisha VIPI Bunge Liwe chombo Cha wananchi,
Mkuu haya mimi pia; nasikiwa tu kuwa kuna Spika mwingine.Mimi sina habari kama tuna Bunge kwa sasa hivi.
Wabunge wameteuliwa na NEC wakishirikiana na poris.Sio wawakilishi wa wananchi.Karibia wote walipitishwa bila kupingwa na NEC.Bunge linaendelea Bungeni Lakini vyombo vya HABARI ni kama wamesusa au Wabunge wamekosa hoja.