Umepiga mule mule!Kwanza ni kukitoa chama chakavu, pili kuweka katiba imara yenye taasisi imara na tatu kutochagua vichaa kwenye uongozi
hatari sanaNi wazi kuwa rais Magufuli aliipendelea sana wilaya ya Chato katika kupeleka maendeleo. Alijenga uwanja wa ndege wa kimataifa, alijenga hospitali kubwa ya rufaa ya kanda, alijenga chuo cha Veta, alianza kujenga hoteli ya nyota tatu, mipango ya kujenga uwanja wa mpira. Na mambo mengine mengi sana.
Haya mambo hayakuanza na Rais Magufuli, ni vile tu yeye aliyafanya kwa kiwango cha kushangaza.
Sasa siku nyingine atatokea kiongozi atafanya zaidi ya Magufuli alivyofanya. Nini kifanyike ili kuzuia Rais au kiongozi yoyote asiweze kufanya kitu kama hicho?
Katiba mpya itazuia ????Mama sasa naye anafanya yake Zanzibar, nadhani suluhisho ni katiba mpya.
Acheni Nongwa na Uswahili Kiongozi asipopendelea Kwao apendelee wapi? Kupendelea Kwao ni Dhambi?Ni wazi kuwa rais Magufuli aliipendelea sana wilaya ya Chato katika kupeleka maendeleo. Alijenga uwanja wa ndege wa kimataifa, alijenga hospitali kubwa ya rufaa ya kanda, alijenga chuo cha Veta, alianza kujenga hoteli ya nyota tatu, mipango ya kujenga uwanja wa mpira. Na mambo mengine mengi sana.
Haya mambo hayakuanza na Rais Magufuli, ni vile tu yeye aliyafanya kwa kiwango cha kushangaza.
Sasa siku nyingine atatokea kiongozi atafanya zaidi ya Magufuli alivyofanya. Nini kifanyike ili kuzuia Rais au kiongozi yoyote asiweze kufanya kitu kama hicho?
Zanzibar kujengwa hotel za kitalii za bilions of dollar, kiwete kipindi anapendelea pwani kwenye uwekezaji wa viwanda pamoja na mashule hamkuona? Acheni ngebeNi wazi kuwa rais Magufuli aliipendelea sana wilaya ya Chato katika kupeleka maendeleo. Alijenga uwanja wa ndege wa kimataifa, alijenga hospitali kubwa ya rufaa ya kanda, alijenga chuo cha Veta, alianza kujenga hoteli ya nyota tatu, mipango ya kujenga uwanja wa mpira. Na mambo mengine mengi sana.
Haya mambo hayakuanza na Rais Magufuli, ni vile tu yeye aliyafanya kwa kiwango cha kushangaza.
Sasa siku nyingine atatokea kiongozi atafanya zaidi ya Magufuli alivyofanya. Nini kifanyike ili kuzuia Rais au kiongozi yoyote asiweze kufanya kitu kama hicho?
Ninyi mliopewa madaraka sasa hivi chuki zenu ambazo mnashindwa kuzidhibiti zitawatokea puani huko mbeleni. Ofisi ya Tanesco inayojengwa ni ya kwake binafsi au kwa matumizi ya umma? Bajeti ya fedha hizo aliidhinisha nani wakati viongozi wasimamizi wake walikuwepo na bado wako madarakani? Mnataka kuonesha chuki zenu dhidi ya JPM kwa kuonesha ni kwa jinsi gani watu wanatakiwa wahudumiwe? Mradi kama huo haupo mahali pengine Tanzania? Kwanini mnaendelea kumzonga mtu asiyekuwepo kujitetea na mnatishia kushitaki wasaidizi wake?Ni wazi kuwa rais Magufuli aliipendelea sana wilaya ya Chato katika kupeleka maendeleo. Alijenga uwanja wa ndege wa kimataifa, alijenga hospitali kubwa ya rufaa ya kanda, alijenga chuo cha Veta, alianza kujenga hoteli ya nyota tatu, mipango ya kujenga uwanja wa mpira. Na mambo mengine mengi sana.