Nini kifanyike ili kiongozi asipendelee kwao kama Hayati Dkt. Magufuli alivyoipendelea Chato?

acheni chuki zisizo za msingi kwan chato haiko Tanzania
 
Kati
Katiba mpya itakayopunguza madaraka makubwa aliyopewa rais ndiyo dawa ya huu upuuzi unaoendelea TZ.
ba haiwezi kupunguza chochote maana katiba imeandikwa na pia watu hawaifuati . Kuna baadhi ya vyama wameandika Katiba zao lakini bado hazifuatwi sema sie tuna shida tu.
 
Kati

ba haiwezi kupunguza chochote maana katiba imeandikwa na pia watu hawaifuati . Kuna baadhi ya vyama wameandika Katiba zao lakini bado hazifuatwi sema sie tuna shida tu.
rudi maktaba ukasome upya katiba ya nchi.
 
Kwanza ni kukitoa chama chakavu, pili blni kkdkuweka katiba imara yenye y katiba mpyataasisi mimara na tatu kutochagua vichaa kwenye uongozi
Tutafanya kosa kubwa kukitoa chama kabla ya kupitishwa kwa katiba mpya. Itakuwa kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi. Chadema ni wabaya kuliko
 
Zanzibar kujengwa hotel za kitalii za bilions of dollar, kiwete kipindi anapendelea pwani kwenye uwekezaji wa viwanda pamoja na mashule hamkuona? Acheni ngebe
Nani amekwambia kuwa hizo hoteli za utalii ni kwa sababu ya Mama Samia? Fikiri na uwaze tena kwa upana zaidi, priority ya Zanzibar tangu kwenye miaka ya tisini ilikuwa ni kukuza utalii, haikuanza leo.
 
KATIBA MPYA.
 
Sema nini kifanyike kiongozi mzalendo kama Dkt Magufuli asije kuuawa? Maana furaha yenu ya kumuua Dkt Magufuli sasa hamfichi, mnajiachia kama vile watanzania ni vilaza hawajui, just wait 2025!
Huwachi uzushi wewe au ushahidi unao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…