Nini kifanyike ili kuepuka "kuchapiwa"?

Hii mitazamo ndio inayotakiwa kiumeni badala ya comments nyingi za kulialia nilizoziona kwenye uzi huu.

Umeongea point ya msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mbona unaongea kama umejuja duniani jana?

Unaposema kwa uhakika kuwa, mwanamke aliyekuza ndiye atakae kupenda unakuwa umefikiria vizuri? Mama yako huyohuyo ukikaa vibaya anashirikiana na baba'ko kukutoa kafara ili watajirike (japo sio wote)

Kwahiyo kama ambavyo sio wazazi wote wenye kuwapenda watoto wao, vivyo hivyo sio wanawake wote wenye kuwapenda wanaume zao (wasiowapenda wanaume wao ni wengi lakini wapo wachache wanaowapenda kwa dhati)

Uzoefu wako katika mapenzi usiufanye kuwa universal (kwamba hakuna mwanamke yoyote anaependa kwa dhati dunia nzima)

Mkuu Robert Heriel , alikuwa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo unataka kusema wanawake hawachepuki au kuchapwa na wahuni?
 
1. Upendo wa mama ni for your survival
2. Upendo wa mkeo ni for her survival
Kazi kwako, chagua kifurushi unachotaka hapo juu
Hiyo namba moja sio sahihi kwa wamama wote.

Lakini pia kuna wanaume ambao upendo wa wake zao ni for their survival, kwahiyo phrase zako bado hazina utimilifu kwa 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa alikuwa akiona mke kapendeza anataka kutoka,alikuwa anamrudisha ndani na anaenda kumto m b a kirough rough anahakikisha mpaka amemchubua ndo ana mruhusu aondoke kuna baadhi ya siku mwanamke alikuwa anahahirisha kabisa
[emoji23][emoji23]
 

Huyo anadhani wamama wote wanamoyo wakupenda Watoto. Wapo wamama wachache ni vichomi.
Na hao ndio wanaharibu Sifa za wengine
 
Chief, we tumia hisia zako na vitu vyote uvitakavyo ila sijatumia experience mimi hapo. Nilishaillustrate nakuelezea basing on scientific facts, I really don't care uaminivyo. Pia jua sio wote tunaexperience na mapenzi😂😂😂, ninaobjectives zangu. Kudos boss!
 
Hii mitazamo ndio inayotakiwa kiumeni badala ya comments nyingi za kulialia nilizoziona kwenye uzi huu.

Umeongea point ya msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa vijana wa humu sometimes kuwaangalia tu wanawachukulia powa wanawake, wanawake ni zaidi ya wawajuavyo, hata hao bar made wanaowadharau akiamuwa anakaza unapigwa kalenda tu kama fala au unakimbiwa at last point.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…