Nini kifanyike ili kuepuka "kuchapiwa"?

Nini kifanyike ili kuepuka "kuchapiwa"?

Hakuna mwanamke anayekupenda sana isipokuwa mama yako, shika na uelewe hilo. We mtu ameishi miaka 20 na bila kukujua wewe, leo akupende wewe kama nani!

Wapo Wanawake wanaopenda kuliko kawaida, ingawaje ni wachache.
Hasahasa First love, tatizo siku hizi wengi wanaishi na Wanawake waliokwisha kuumizwa, mioyo imeota sugu.
Wameshatendwa Sana.
 
Au mwanaume mwenyewe
Mwanamke ni kiumbe huru, uovu wako jibebeshe mwenyewe mwanaume hausiki. Mwili na akili ni zako, ukikosa umekosa mwanaume hajakufanya uvue nguo wala kuishikilia akili yako.
 
I mean tujifunze kutulia kwenye ndoa maana wote tunavua nguo mkuu
 
Wapo Wanawake wanaopenda kuliko kawaida, ingawaje ni wachache.
Hasahasa First love, tatizo siku hizi wengi wanaishi na Wanawake waliokwisha kuumizwa, mioyo imeota sugu.
Wameshatendwa Sana.
It's your perspective na opinion ila mwanaume futa kabisa dhana kuwa mwanamke asiyekuzaa anakupenda. Hayupo. First love ilianza uko secondary na high school na watu walibadilisha wapenzi kama nguo. So nothing new!
 
Hata unachozungumza ni Mtazamo na Maoni yako sio uhalisia.
Nimekuambia wapo Wanawake wenye Upendo WA dhati, hasahasa ukiwa First lover wake. Ingawaje ni wachache.

Unaposema hakuna unataka ushahidi upi?
Mimi nawajua Wanawake wanaowapenda wanaume kupitiliza na waliotoka nao mbali. Sasa kama wewe hujawahi kuwaona Sema hujawahi kuwaona, sio useme Hakuna.
 
I mean tujifunze kutulia kwenye ndoa maana wote tunavua nguo mkuu
Mwanaume anamakosa na mwanamke anamakosa. Ila kamwe sitatumia uovu wa mtu mwingine kujustify uovu wangu. Kwasababu two wrongs doesn't make it right. Kwasababu unaakili timamu, ninachojua huyu akijiua, kamwe sitajiua eti kwasababu huyu kafanya hivi. No one makes you, it's your conscience and mind plus your body and soul. Hivyo ukicheat we jua hiyo ni akili yako, hakuna anayehusika.
 
Sawa mkuu,ni kweli kabisa ...kosa langu lisifutwe Kwa kosa lingine bali nijirekebishe
 
Hata unachozungumza ni Mtazamo na Maoni yako sio uhalisia.
Nimekuambia wapo Wanawake wenye Upendo WA dhati, hasahasa ukiwa First lover wake. Ingawaje ni wachache.

Unaposema hakuna unataka ushahidi upi?
Mimi nawajua Wanawake wanaowapenda wanaume kupitiliza na waliotoka nao mbali. Sasa kama wewe hujawahi kuwaona Sema hujawahi kuwaona, sio useme Hakuna.
It's my perspective nakubali, nanichojua mwanamke asiyekuzaa hakupendi kwa dhati hata afanye maigizo gani. Everyone has a price hivyo huyo mtu hajamfikia price yake. Just like the world is capitalized, even people are capitalized. Upendo wa dhati ni wamama tu sio mwanamke niliyekutana naye at 20s.
 
Unajua maana ya upendo lakini?
Upendo hauna Sababu.
Mama yako hakupendi Ila silika ndio inamfanya hivyo Kwa sababu amekuzaa.

Fikiria MTU Hana undugu na wewe lakini anahisia na wewe, anakupenda,

Kinachotoka Kwa Baba au Mama yako sio upendo Bali ni msukumo wa kiasili, silika. Kwa vile walikuzaa.

Ndio maana hakuna sheria ya kuwapenda wazazi, au wazazi kuwapenda Watoto kwani Jambo Hilo lipo automatically.

Ni Sawa na MTU kujipenda mwenyewe,
 
Wakumbuke hata mama ni demu wa baba na yeye (mama) alikua na mamake ila akampenda baba
 
Unajua maana ya upendo lakini?
Upendo hauna Sababu.
Mama yako hakupendi Ila silika ndio inamfanya hivyo Kwa sababu amekuzaa.

Fikiria MTU Hana undugu na wewe lakini anahisia na wewe, anakupenda,

Kinachotoka Kwa Baba au Mama yako sio upendo Bali ni msukumo wa kiasili, silika. Kwa vile walikuzaa.

Ndio maana hakuna sheria ya kuwapenda wazazi, au wazazi kuwapenda Watoto kwani Jambo Hilo lipo automatically.

Ni Sawa na MTU kujipenda mwenyewe,
Upendo ni hisia, naunajua uo msukumo unaoutaja kuwa ni hisia na sio kitu kingine chochote. Hisia kati ya mama na mtoto hujengeka tangu akiwa tumboni na hukua kadri mimba inavyoongezeka. Nahisia hizo hutengenezeka naturally na huwa na natural bases basing on subconscious level of mother's brain kwakuwa hata brain structure ya mwanamke akiwa na mimba hubadilika. Huo wewe unaoitwa msukumo ambao umeushindwa kuelezea scientifically ndio huitwa feelings au hisia na hukua kiasi ambacho mama hudevelop maternal instincts. Ni true feelings kwasababu zinabasic foundation na hamna sheria ya upendo kati ya mama na mtoto kwasababu upendo hauna sheria. Huyo unaesema amekupendea with feelings from thin air, it's just a mirage na fantasies ambazo hupotea na kuisha overtime na they are just there to comfort him/her au kumpa amani, ni natural way of the brain to make a defense mechanism ilikuipata amani ila amani hiyo ikishapatikana na kustabilize hizo feelings husepa. No one can restructure your mother's brain, never. So hakuna upendo wa dhati kwa mwanamke asiyekuzaa, kamwe!
 
We ushaona mama mjane aliefiwa na mmewe au baba aliefiwa na mkewe ?
 
Sema wewe ndio hujawahi kuona Mwanamke mwenye upendo wa kweli.
Kwa kukusaidia tuu, Mimi nimeshashudia wamama wakiua Watoto wao wakuwazaa, wakitupa majalalani Watoto wao,
Wakiwaloga Watoto wao.
Hao nao wanaupendo WA kweli Kwa Watoto wao?

Kutokuona kitu haimaanishi kitu hicho hakipo
 
Back
Top Bottom