Upendo ni hisia, naunajua uo msukumo unaoutaja kuwa ni hisia na sio kitu kingine chochote. Hisia kati ya mama na mtoto hujengeka tangu akiwa tumboni na hukua kadri mimba inavyoongezeka. Nahisia hizo hutengenezeka naturally na huwa na natural bases basing on subconscious level of mother's brain kwakuwa hata brain structure ya mwanamke akiwa na mimba hubadilika. Huo wewe unaoitwa msukumo ambao umeushindwa kuelezea scientifically ndio huitwa feelings au hisia na hukua kiasi ambacho mama hudevelop maternal instincts. Ni true feelings kwasababu zinabasic foundation na hamna sheria ya upendo kati ya mama na mtoto kwasababu upendo hauna sheria. Huyo unaesema amekupendea with feelings from thin air, it's just a mirage na fantasies ambazo hupotea na kuisha overtime na they are just there to comfort him/her au kumpa amani, ni natural way of the brain to make a defense mechanism ilikuipata amani ila amani hiyo ikishapatikana na kustabilize hizo feelings husepa. No one can restructure your mother's brain, never. So hakuna upendo wa dhati kwa mwanamke asiyekuzaa, kamwe!