Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,063
- 12,866
Ni takribani miaka 33 sasa juhudi za kuiondoa CCM madarani zinafanyika nchini TANZANIA bila mafanikio yoyote.
Kadri miaka inavyodhid kwenda CCM wameendelea kujiimarisha Kwa njia halali na haramu.
Kwa chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu Kwa miaka ya karibuni CCM wameonekana wapo tayari Kwa lolote.
Je, nini Kifanyike ili kuiondoa CCM madarakani?
Uzi huu Una lengo la kuwaleta pamoja wenye nia Sawa na Uzi huu ambao wamekuwa wakiumiza vichwa vyao kupata majibu ya swali hili.
Uwanja ni wenu sasa