Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
ni muhimu sana ukweli ukasemwa,Tokosoe hoja bila kuvunjiana heshima
na tabia ya ukweli huwa ni mchungu na unauma sana. Na ni jambo zuri na la maana sana ukweli huo ukapokelewa kama ilivyo.
CCM haifanani na chama chochote cha siasa barani Africa na duniani kote, na kwahivyo hakuna namna chama, watu au taasisi ya nadani au nje ya nchi, inaweza kwa namna yoyote ile kuudhoofisha ama kuiyumbusha CCM.
Forget about kuiondoa mamlakani, my friends, ladies and gentlemen 🐒