Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Lazima atakua anaona aibu hata kutaja huo mbdala wa CCM 🐒ukiiondoa umweke nani? na kwanini uiondoe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima atakua anaona aibu hata kutaja huo mbdala wa CCM 🐒ukiiondoa umweke nani? na kwanini uiondoe?
acha upotoshaji gentleman,Shida ni kwamba, CCM wanaamini Wana hela, watz Wana njaa, kwa hiyo hako Ka tread, CCM wanaamini hamna WA kukavunja. Na ni kweli
Kuendelea kuongozwa na viongozi wa upinzani wa aina ya Lema,Sugu ,Wenje na Mzee Mbowe mtasubiri saaanaNi takribani miaka 33 sasa juhudi za kuiondoa CCM madarani zinafanyika nchini TANZANIA bila mafanikio yoyote.
Kadri miaka inavyodhid kwenda CCM wameendelea kujiimarisha Kwa njia halali na haramu.
Kwa chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu Kwa miaka ya karibuni CCM wameonekana wapo tayari Kwa lolote.
Je nini Kifanyike ili kuiondoa CCM madarakani?
Uzi huu Una lengo la kuwaleta pamoja wenye nia Sawa na Uzi huu ambao wamekuwa wakiumiza vichwa vyao kupata majibu ya swali hili.
Uwanja ni wenu sasa
Kwa hali hii bado hatuna Chama mbadalaCCM haiondoki sababu hakuna chama mbadala. Ukienda ndani kabisa kwenye Mashina na mitaa utakuta chama kimoja tu chenye ofisi, viongozi na wanachama. Vyama vingine ni kelele tupu, propaganda zao wanaendesha mitandaoni badala ya kuwafuata wapiga kura walipo.
Mfano halisi uchaguzi huu wa serikali za mitaa, hali si hali vijijini hakuna chama cha upinzani kimesimamisha mgombea. Tena wananchi wengine hawajui hata kama kuna vyama vya upinzani. Imefikia hatua baadhi ya maeneo raia hawajaenda kupiga kura sio sababu wamesusia, bali wanajua na kuamini viongozi wao waliwachagua mwezi Oktoba ktk kura za maoni za CCM.
amini usiamini ni asilimia 3 tu (3%) ya wapinzani ndio waliosimama katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa leo nchi nzima. Asilimia iliyobaki (97) ni wagombea wa CCM.
Halafu kuna ng'ombe sijui nyumbu inaamini kuna nafasi ya upinzani kushika dola tz!
We mjinga na ndivyo walivyo watanzania wengi.ukiiondoa umweke nani? na kwanini uiondoe?
Watu walifikiri KANU isibgetoka madarakani milele ipo wapi sasa haipo hata kwenye list ya vyama vya upinzani Kenya!kwa maoni yangu hakuna kabisaa kinachoweza kuitoa CCM kwa wakati huu likini pia wakati ujao na wakati mwingine wowote.
hakuna dalili, wala hakuna kiongozi au taasisi ya kisiasa yenye maono, mipango mikakati hata ya kushinda uchaguzi wa kata au Jimbo tu la uchaguzi.
kuwaza kuitoa CCM madarakani ni sawa na kujidanganya kwa uchawi au ushirikina tu .
hakuna namna unaweza kuwaleta pamoja watu wanaofadhiliwa na mabwenyenye ya magharibi, yaani vibaraka na wale ambao wanajiona ni mapatriotic, wanaoamini kwamba wao ndiyo wenye haki na hatma ya Taasisi za kisiasa wanazoongoza 🐒
ona hili tukunyema,Watu walifikiri KANU isibgetoka madarakani milele ipo wapi sasa haipo hata kwenye list ya vyama vya upinzani Kenya!
Na nyie CCM muwe mnawaachia hata kidogo yaani mnapiga Hadi kwenye mshono? 👇👇ona hili tukunyema,
watu wanajadili CCM, lenyewe linakuja na mifano isiyohusiana na CCM kabisaa?
eti hawa ndiyo watu wa kuitoa CCM madarakani 🤣
Nguvu ya umma,jeshi au ccm ifitinike kama tuliyoona 2015,tufauti na hapo ni kujidanganya na chaguzi za maigizo.Ni takribani miaka 33 sasa juhudi za kuiondoa CCM madarani zinafanyika nchini TANZANIA bila mafanikio yoyote.
Kadri miaka inavyodhid kwenda CCM wameendelea kujiimarisha Kwa njia halali na haramu.
Kwa chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu Kwa miaka ya karibuni CCM wameonekana wapo tayari Kwa lolote.
Je nini Kifanyike ili kuiondoa CCM madarakani?
Uzi huu Una lengo la kuwaleta pamoja wenye nia Sawa na Uzi huu ambao wamekuwa wakiumiza vichwa vyao kupata majibu ya swali hili.
Uwanja ni wenu sasa
Unajua zaidi ya wagombe wa upuinzani wameenguliwa kwenye mchakato huu haramu? Au unaongea tu kujaza servers.CCM haiondoki sababu hakuna chama mbadala. Ukienda ndani kabisa kwenye Mashina na mitaa utakuta chama kimoja tu chenye ofisi, viongozi na wanachama. Vyama vingine ni kelele tupu, propaganda zao wanaendesha mitandaoni badala ya kuwafuata wapiga kura walipo.
Mfano halisi uchaguzi huu wa serikali za mitaa, hali si hali vijijini hakuna chama cha upinzani kimesimamisha mgombea. Tena wananchi wengine hawajui hata kama kuna vyama vya upinzani. Imefikia hatua baadhi ya maeneo raia hawajaenda kupiga kura sio sababu wamesusia, bali wanajua na kuamini viongozi wao waliwachagua mwezi Oktoba ktk kura za maoni za CCM.
amini usiamini ni asilimia 3 tu (3%) ya wapinzani ndio waliosimama katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa leo nchi nzima. Asilimia iliyobaki (97) ni wagombea wa CCM.
Halafu kuna ng'ombe sijui nyumbu inaamini kuna nafasi ya upinzani kushika dola tz!
Huwezi kuiondoa CCM bila kumwaga damu. Lazima iondoka kwa vitaNi takribani miaka 33 sasa juhudi za kuiondoa CCM madarani zinafanyika nchini TANZANIA bila mafanikio yoyote.
Kadri miaka inavyodhid kwenda CCM wameendelea kujiimarisha Kwa njia halali na haramu.
Kwa chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu Kwa miaka ya karibuni CCM wameonekana wapo tayari Kwa lolote.
Je nini Kifanyike ili kuiondoa CCM madarakani?
Uzi huu Una lengo la kuwaleta pamoja wenye nia Sawa na Uzi huu ambao wamekuwa wakiumiza vichwa vyao kupata majibu ya swali hili.
Uwanja ni wenu sasa
Siasa ni sayansi, sayansi ya siasa,political science,inafuata kanuni za kisayans za matter na Newton laws of motion。Ni takribani miaka 33 sasa juhudi za kuiondoa CCM madarani zinafanyika nchini TANZANIA bila mafanikio yoyote.
Kadri miaka inavyodhid kwenda CCM wameendelea kujiimarisha Kwa njia halali na haramu.
Je nini Kifanyike ili kuiondoa CCM madarakani?