Nini kifanyike ili kuiondoa CCM madarakani?

Shida ni kwamba, CCM wanaamini Wana hela, watz Wana njaa, kwa hiyo hako Ka tread, CCM wanaamini hamna WA kukavunja. Na ni kweli
acha upotoshaji gentleman,

CCM wanaamini katika Neema na Baraka za Mungu. Hizo ndizo alfa na omega katika kuendelea kujizatiti uongozini..

CCM Inaamini katika utu, usawa, haki na uhuru, Maendeleo na kujitegemea.

mengine ni upotoshaji 🐒
 
Kuendelea kuongozwa na viongozi wa upinzani wa aina ya Lema,Sugu ,Wenje na Mzee Mbowe mtasubiri saaana
 
Kwa hali hii bado hatuna Chama mbadala
 
Watu walifikiri KANU isibgetoka madarakani milele ipo wapi sasa haipo hata kwenye list ya vyama vya upinzani Kenya!
 
Nguvu ya umma,jeshi au ccm ifitinike kama tuliyoona 2015,tufauti na hapo ni kujidanganya na chaguzi za maigizo.
 
Unajua zaidi ya wagombe wa upuinzani wameenguliwa kwenye mchakato huu haramu? Au unaongea tu kujaza servers.
 
Huwezi kuiondoa CCM bila kumwaga damu. Lazima iondoka kwa vita
 
Ni takribani miaka 33 sasa juhudi za kuiondoa CCM madarani zinafanyika nchini TANZANIA bila mafanikio yoyote.

Kadri miaka inavyodhid kwenda CCM wameendelea kujiimarisha Kwa njia halali na haramu.

Je nini Kifanyike ili kuiondoa CCM madarakani?
Siasa ni sayansi, sayansi ya siasa,political science,inafuata kanuni za kisayans za matter na Newton laws of motion。

Kisayansi CCM ni matter a physical substance in which occupies space
Ili CCM iondoke madarakani,hatua ya kwanza awepo mtu wa kuiondoa,to ocupy that space, CCM is a body in motion,lazima kuwepo nguvu nyingine ya kuiondoa,haiwezi kujiondoa, hivyo kwanza lazima kiwepo chama cha kuiondoa CCM madarakani, kwa vyama vilivyopo,hakuna chama chenye the ability na the capabilty kuiondoa CCM madarakani,hivyo ili CCM
iondoshwe madarakani,lazima kuwepo na upinzani imara wa kuipumzisha CCM,ambao bado haupo.

Mimi japo ni mwandishi tuu wa habari,nilisoma somo la siasa,hivyo mimi ni mshauri wa siasa,nimewashauri sana wapinzani Kuelekea 2025 - Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli 2025, Iachane na Urais, Ujikite Serikali za Mitaa, Ubunge na Udiwani, Urais labda 2030!
- Japo kazi ya upinzani ni kupinga, lakini sio kupinga kila kitu. Kwenye maslahi ya taifa, tutangulize utaifa, tuwe wamoja, wakweli na tusipotoshe
-https://www.jamiiforums.com/threads/tanzania-hakuna-chama-cha-upinzani-chenye-sifa-za-kuwa-chama-cha-upinzani.1731275/post-35411354

ushauri wangu haukuishia kwa upinzani nimeishauri sana serikali Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?
- ile 2020, mimi ni miongoni mwa tulimshauri TL Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Na alipoelemewa nikashauri For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?
p
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…