Nini kifanyike ili kuiondoa CCM madarakani?

Yafanyike ya Msumbiji kwa wananchi kuandamana kupinga uchafuzi wa uchaguzi bila kikomo na maandamano yasiratibiwe na Chama chochote cha siasa.
Mbowe aliitisha maàndamano hata John Pambalu hakwenda. Hayo yàsiyo nà chama ataitisha nani?
 
Mbowe aliitisha maàndamano hata John Pambalu hakwenda. Hayo yàsiyo nà chama ataitisha nani?
Muda ni mwalimu ndugu tuandikie mate, tunza mawasiliano haya ipo siku utashangaa maana watu hawawezi kuvumilia uchafuzi wa kurauchaguzi milele.
 
Mawazo kuntu sana haya.
 

Umeongea ukweli kwa uchungu sana!

Ukweli usemwe
 
Siku social media kama JF wakiwa transparency kama X Tanganyika itapona otherwise tunatwanga maji kwenye kinu.

Mpira una threads nyingiiiiii

Let people speak out sio kufuta comments zinazolenga upande fulani.

Siku shillingi ikigeuzwa upande wa pili, wakupewa hukumu ya kuwadhulumu Wananchi wa Bara (mnavyotupachika jina au utaifa kwa madharau) mtakuwa wengi mjue!

Jitengeni na uovu. Ruhusuni free of speech sio tukiandika neno Tanganyika inawakera!

Tanganyika ndio yetu wabara kwa nini inawakera?
 
Mwamba umeongea ukweli mchungu
 
Ili kuiondoa ccm madarakani lazima kipatikane chama cha upinzani kwasasa Tanzania hakuna chama cha upinzani , Vingi vimeanzishwa kwa ajili ya kufanya ujasiriamali wa kisiasa
 
Dawa ya moto ni moto. Na dawa ya batili ni batili.
 
Jinsi unavyozidi kuichukia CCM, sisi wengine wengi kweli ndivyo tunavyozidi kuipenda zaidi na zaidi, tatizo kubwa ni HATA SEREKALI ZINAPOBADILIKA, WANAOINGIA HUWA HAWANA LA MAANA WANALOFANYAGA.
 
Cha kufanya ni kujenga fitina CCM ipasuke katikati....hao nusu waje Chadema

Otherwise,it will be a toll order.

Mpasuko is bound to happen,ila lini na how,is the matter of time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…