Nini kifanyike ili mtoto aliyelatiwa asipate madhara ukubwani?

Nini kifanyike ili mtoto aliyelatiwa asipate madhara ukubwani?

Sengimisoji

Senior Member
Joined
Feb 2, 2022
Posts
128
Reaction score
209
Habari za usiku,

Naombeni mnisaidie kwa wataalamu wa afya, mtoto wa dada angu amelawitiwa shuleni kama mara mbili kwa maelezo yake, umri wake 8 years, amepimwa magonjwa hana, kesi ipo Polisi kwa mtuhumiwa, alikuwa ameanza dalili zakujisaidia kila mara chooni baadhi ya siku, nini kifanyike kuokoa asipate madhara ukubwani?

Kuna madhara gani yatampata? Je, atakuwa na uwezo wa kusimamisha kama kawaida au ndio kashaharibika?

Msaada wandugu.
 
Hiyo ni police case, huku utachelewesha ....

Kama mna ripoti ya hospitali chukueni hatua huyo janaume awajibishwe....

Hakikisha mnatafuta mtu wa saikolojia aongee na huyo mtoto aweze kukaa sawa na kujiamini tena kama mwanaume.
 
Hiyo ni police case, huku utachelewesha ....

Kama mna ripoti ya hospitali chukueni hatua huyo janaume awajibishwe....

Hakikisha mnayafuta mtu wa saikolojia aongee na huyo mtoto aweze kukaa sawa na kujiamini tena kama mwanaume.
Asante
 
Habari za usiku, naombeni mnisaidie kwa wataalamu wa afya,mtoto wa Dada angu amelawitiwa shuleni Kama Mara mbili kwa maelezo yake,umri wake 8 years,amepimwa magonjwa hana, kesi ipo Police kwa mtuhumiwa,alikuwa ameanza dalili zakujisaidia kila Mara chooni baadhi ya siku,nini kifanyike kuokoa asipate madhara ukubwani? Kuna madhara gan yatampata,? Je atakuwa na uwezo wakusimamisha Kama kawaida au ndio kashaharibika? Msaada wandugu.
Daah nimeumia Sana.....my son ana umri kama huo....Yan napata picha kama ndio angekuwa mwanangu ingekuwaje? Poleni Sana mkuu.....muwajibisheni mtuhumiwa ipasavyo
 
Nguvu zakuja humu ningezitoa wapi km mwanangu yupo nahali hiyo,usipende kukurupuka.
Pole, kwa hiyo usingekuwa na nguvu hata za kuja JF? Pole sana..

Watoto wengi wamepitia hiyo hali ya kulawitiwa, tena mara nyingi na siyo mara mbili tu, walikua, wakawa kawaida tu wakaishi maisha kama wanaume wengine.

Kwa hiyo madhara yapo lakini sio kwa haraka hivyo, hiyo unayosema ya kwenda choo mara kwa mara wala haiwezi kuwa na uhusiano na jambo hilo.

Ok, umeuliza na ishu ya kusimamisha, atasimamisha kawaida tu wala haina shida, mashoga wanasimamisha tu na wanalawitiwa maisha yao yote haiwezi kuwa kwa hiyo mara mbili. So far hakuna madhara yeyote atakayopata sasa na hata hapo baadae. So mrelax, muwe na amani.
 
Hiyo ni police case, huku utachelewesha ....

Kama mna ripoti ya hospitali chukueni hatua huyo janaume awajibishwe....

Hakikisha mnatafuta mtu wa saikolojia aongee na huyo mtoto aweze kukaa sawa na kujiamini tena kama mwanaume.
Kasie mtoto wa miaka nane inawezekana kabisa hajui hata hicho alichofanyiwa ni nini, kwa hiyo kuathirika kisaikolojia sio rahisi.
 
Poleni sana ila pole haita saidia kwa sasa na inaumiza saaaana Mtoto miaka 8 anatakiwa awe bado anaogeshwa na mama yake mara kwa mara, maana kumuogesha ni njia ya ulinzi kwanzia mapema,
Sasa mkuu inawezekana siyo Mara mbili tu inawezekana katumiwa sana mngekua mnamsimamia vizuri na kutimiza majukum Kama wazazi mngegundua ile siku ya kwanza tu

Maana usikute miaka 8 aliyonayo tayari mmeshampeleka boarding school hali ya kuwa bado hawezi kujisimamia ili tu nyie kukwepa majukum flan ya kumlea na hayo ndiyo madhara yake
 
Kasie mtoto wa miaka nane inawezekana kabisa hajui hata hicho alichofanyiwa ni nini, kwa hiyo kuathirika kisaikolojia sio rahisi.

Napingana na wewe....!

Miaka nane kumbukumbu itabaki maisha yake yote....

Mimi na wewe hatujui mlawiti amemjaza maneno gani akilini, na hapo ndo tunasema kuathirika kisaikolojia.

Wengi wa walawiti kutokana na ushuhuda, wanawatisha watoto wanaowalawiti kwa kiwatishia wakisema watakufa, au wazazi wao watakufa au hakuna atayemuamini na atachapwa sana kwa kuonekana kaanza uhuni mapema....!

Yaani mlawiti anamvuruga mtoto kisaikolojia kiasi kwamba mtoto anakosa kujiamini...!

Na hii huwaathiri wengine hadi ukubwani hata kama hatokuwa shoga ila anakuwa muoga fisi kwa kila jambo...!

Na baadhi ya watoto wanajawa na chuki moyoni na pindi akiwa mkubwa kuanzia miaka 24 -35 hapa anakuwa huru na maisha yake, wataokuwa karibu nae wataipata habari ya madhara ya kisaikolojia aliyoyapata akiwa mtoto.

Ulevi uliopindukia
Uhuni
Husuda na chuki zisizo na kichwa wala miguu
Ukorofi na ugomvi haswa kwa watoto walioteswa na kunyanyaswa
The list is on, kama kuna mwanasaikolojia humu ataongeza maelezo.
 
Dah hii dunia ina mambo mengi sana mpambanieni awe poa,huyo laana alomfanyia hicho kitendo mshughulikieni ipasavyo.
 
Back
Top Bottom