Inasikitisha sana aisee, imani za kishirikina hizi, tena mhusika ni mkurugenzi wa shule, Masharti ya Mganga hayo.
Kama yupo polisi kwa kuanzia ni jambo jema, hakikisheni ushahidi unakuwa well coordinated na ikiwezekana pelekeni kabisa kwa watu wa haki za binadamu wasimame na hii kesi na wizara ya watoto na jinsia mpeleke hili suala ili mhusika apate kweli adhabu yake, mkiachia hawa wajinga wajinga vituoni wanaweza kula rushwa wakaharibu ushahidi na hilo PUMBAVU likawa uraiani.
Hiyo shule inapaswa kufungwa haraka kuanzia muda huu na mhusika afirisiwe pamoja na hiyo shule kuvunjwa na hapo kiwe kiwanja cha wazi.
Polisi yeyote aliyeko kituoni na kuona uzi huu mara moja toeni roho ya huyo jamaa iwe kama amejinyonga hivi au apewe sumu tu afe SHENZI HUYO.