Mkaa wa mawe
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 5,055
- 7,496
Pole sana mkuu, narudia tena pole na nina imani mtoto atakaa sawa na fanyeni kila njia asahau hilo tukio chafu.
Lakini kingine ni kuweka info za hiyo shule au hata jina tu ili watu waondoe watoto wao kwenye hilo jehannam.
Na kingine cha muhimu zaidi kama huyo mbwa bado yupo hai ni kuhakikisha huyo mbwa analipiziwa kila kitu hata akiwa gerezani na muhakikishe anateseka maisha yake yote kama mkishindwa kumtoa roho.
Baba wa mtoto kwa hasira tu ilitakiwa tayari awe ameshamtafuta huyo nguruwe na kumvunja taya, toboa jicho moja kwa kuchomeka na peni nyekundu hapo ofisini kwake na kuvunja mbavu kadhaa, polisi wangesamehe kwa hili alafu baada ya hapo angeshtakiwa na kusubiri adhabu nyingine.