Sengimisoji
Senior Member
- Feb 2, 2022
- 128
- 209
Nguvu zakuja humu ningezitoa wapi km mwanangu yupo nahali hiyo,usipende kukurupuka.Rekebisha sio mtoto wa dada yako sema ni mtoto wako acha kuzunguka mbuyu ila pole snaa ndugu yangu dunia imekua si sehem salama siku izi inshallah atakuw sawa kama
AsanteHiyo ni police case, huku utachelewesha ....
Kama mna ripoti ya hospitali chukueni hatua huyo janaume awajibishwe....
Hakikisha mnayafuta mtu wa saikolojia aongee na huyo mtoto aweze kukaa sawa na kujiamini tena kama mwanaume.
Daah nimeumia Sana.....my son ana umri kama huo....Yan napata picha kama ndio angekuwa mwanangu ingekuwaje? Poleni Sana mkuu.....muwajibisheni mtuhumiwa ipasavyoHabari za usiku, naombeni mnisaidie kwa wataalamu wa afya,mtoto wa Dada angu amelawitiwa shuleni Kama Mara mbili kwa maelezo yake,umri wake 8 years,amepimwa magonjwa hana, kesi ipo Police kwa mtuhumiwa,alikuwa ameanza dalili zakujisaidia kila Mara chooni baadhi ya siku,nini kifanyike kuokoa asipate madhara ukubwani? Kuna madhara gan yatampata,? Je atakuwa na uwezo wakusimamisha Kama kawaida au ndio kashaharibika? Msaada wandugu.
Pole, kwa hiyo usingekuwa na nguvu hata za kuja JF? Pole sana..Nguvu zakuja humu ningezitoa wapi km mwanangu yupo nahali hiyo,usipende kukurupuka.
Kasie mtoto wa miaka nane inawezekana kabisa hajui hata hicho alichofanyiwa ni nini, kwa hiyo kuathirika kisaikolojia sio rahisi.Hiyo ni police case, huku utachelewesha ....
Kama mna ripoti ya hospitali chukueni hatua huyo janaume awajibishwe....
Hakikisha mnatafuta mtu wa saikolojia aongee na huyo mtoto aweze kukaa sawa na kujiamini tena kama mwanaume.
Kasie mtoto wa miaka nane inawezekana kabisa hajui hata hicho alichofanyiwa ni nini, kwa hiyo kuathirika kisaikolojia sio rahisi.
Kwann umewawazie hivyoNasoma comments tyuuh, natazama unafiki wa binadamu hapa.