Nini kifanyike ili mtoto aliyelatiwa asipate madhara ukubwani?

Mimi nikisikia mtu kamshika kiuno mtoto wangu wa kiume, kmaanina nimeapa kumpeleka mortuary au alale kitandan milele...

All in all huyo mwanao pamoja na hizo athari ndogo kiasi hazitasababisha ashindwe kudindisha kama mwanaume rijali... Mpeleke hospital doctor aongee nae, ila na nyie mumlinde isifahamike mitaani watoto wenzake wasimta is ikamuathiri kisaikolojia...
 
Labda, kama kuna utafiti kusapoti hii dhana, sawa. Lakini ninaiona ni nadharia zaidi kuliko uhalisia, sasa kwa mfano; kama mlawiti alikuambia utakufa na baada ya kukua ukagundua ni uwongo, unaathirikaje?

AMESHAKUWA MKUBWA SASA;

Anakuwa muoga kwa sababu ya nini? Kwamba atalawitiwa tena au?
Anakuwa mlevi kwa sababu gani? Kwamba ana stress kwa kuwa alilawitiwa utotoni?
Nini kinamfanya awe mhuni?, kumbukumbu ya utotoni?
Husuda na chuki? Mmh!
Ukorofi na ugomvi hasa kwa watoto walioteswa na kunyanyaswa, sawa, kuteswa na kunyanyaswa hiyo ni ishu nyingine...

Ninasema hivi sio kwa kuendekeza ubishi hapana, bali sioni uhusiano na wala hakuna takwimu za kulithibitisha hili, zaidi ya nadharia tu na imani zinazosababishwa na dhana tu za kubuni, zinazoonyeshwa kwenye maigizo ya luninga na hadithi za kutunga zinazoandikwa kwenye vitabu.

Ni asilimia kubwa sana ya watu wamefanyiwa vitendo hivi utotoni, tena wengi wanafanyiwa na ndugu wa karibu, lakini ukubwani wako kawaida kabisa na hawana kasoro zozote.

Ninaweza nisiwe sahihi kwa mtazamo huu, i stand to be corrected!
 

Well naliacha kama lilivyo, siko mzuri kwenye hoja kama hizi ambazo zinagusa maisha ya watu.

Najua, najua na nina mifano hai, na sio research tuu natamani niwaite hapa wanasaikolojia 3 tu wanaohusishwa / wanaoshughulika na kesi za watoto waliolawitiwa, athari zao hadi utu uzimani.

Ingekuwa hoja za mahusiano na mapenzi ningetitirika pindi. Ila kwa hii.....

Mic 🎙 🎤 down...!
 
Asante kwa faraja yako, maana mama was mtoto anahali mbaya, alafu aliefanya huo unyama ni mkurungezi washule kabisa.
 
Asante hayupo boarding yupo private day naelikuwa anamfanyia huo ukatili ni mkurungezi washule kabisa, mpaka ss yupo kituoni,mabadiliko yalitokea km Mara mbili baada yakumuona anahangaika kwenda haja Mara kwa mara ndio akafanyiwa uchunguzi.
 
Asante
 
Ni kweli, hoja kama hizi zinagusa maisha ya watu na zinaweza kuibua hisia tofauti, lakini ukweli lazima usemwe kwa faida ya uma,

Mimi ninadhani, badala ya kuwaita wanasaikolojia, unatakiwa uwaite watu halisi waliolawitiwa ili tuone hizo athari zao ukubwani, wanasaikolojia ni watu tu na wanaweza wakapotosha pia.

Mimi sina mifano ya wanasaikolojia, nina mifano ya watu halisi.

Pole kwa kukuchosha..
 
Asante kwa faraja yako, maana mama was mtoto anahali mbaya, alafu aliefanya huo unyama ni mkurungezi washule kabisa.
Poleni sana, Mwambieni mama wa mtoto asiwe na wasiwasi wowote, mtoto hawezi kuwa na madhara yeyote, nina uhakika kabisa!
 
Zamani ilikuwa ngumu sana kulea mtoto wa kike. Siku hizi imekuwa zaidi ya ngumu kumlea mtoto wa kiume. Umakini wa hali ya juu sana unahitajika. Pole mleta mada.
 
Mmh we mbona sikuelewi hili ni jambo la kawaida kweli ..hapana isee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…