Nini kifanyike ili mtoto aliyelatiwa asipate madhara ukubwani?

Poleni sana, Mwambieni mama wa mtoto asiwe na wasiwasi wowote, mtoto hawezi kuwa na madhara yeyote, nina uhakika kabisa!
Ni kama unahalalisha jambo hili indirect. Kwamba halina madhara nakataa.

Miongoni mwa mambo yanayo mharibu mtoto ni pamoja na yale anayofanyiwa.

Tendo hili ni fedheha kwa jamii, wazazi na mtoto.

Kuwa makini na mambo anayofanyiwa mtoto wako.
 
Naunga mkono hoja,japo atasema kesi ipo polisi,lakini atuambie ni shule gani
 

Inawezekana hoja zako ziko sahihi sana Mkuu. Ukweli upi ni lazima usemwe, je ni hilo la kwamba hayo matendo hayana madhara?

Na vipi kwa mtazamo wako, ipo haja ya kukemea vikali kufanyika kwa haya matendo au haipo tuwaache tu watoto wafanyiwe wanayofanyiwa? ...
 
Asante kwa faraja yako, maana mama was mtoto anahali mbaya, alafu aliefanya huo unyama ni mkurungezi washule kabisa.
Duu yani huyo Mkurugenzi mmpe feva sana kimpeleka polisi,mlitakiwa mmalizane nae kabisa huyo fala.
 
Huku mtaani ninapoishi kuna siku nimekaaa mgahawani tunapiga stories,kuna mama mmoja akawa anasema watoto wadogo wakiume mashuleni ni full kubanduana akasema kuna darasa la kwanza anamfanya wa chekechea na wengine darasa la sita na la saba wanabanduana yaani ni full laana….Yeye akawa anasema chanzo ni wazazi huku uswahilin kufanya mambo yao usiku huku watoto hawajalala so wanashuhudia hiyo michezo
 
Jambo Zito kama hili ila umeandika kirahisi sana kama stori za simba na yanga. Edit weka heavy content tukujibu vizuri
Mara nyingi (siyo zote) watoto wanaofanyiwa vitendo kama hivi wanakuwa wamekosa usimamizi wa karibu na malezi. Angalia sana, visa kama hivi vinakuwa zaidi sehemu za uswazi ambako wazazi wanazaa hovyo na hawajishughulishi na malezi ya watoto wao kwa karibu.
 
Ni kama unahalalisha jambo hili indirect. Kwamba halina madhara nakataa.

Miongoni mwa mambo yanayo mharibu mtoto ni pamoja na yale anayofanyiwa.

Tendo hili ni fedheha kwa jamii, wazazi na mtoto.

Kuwa makini na mambo anayofanyiwa mtoto wako.
Mmh! I see, kweli tunatofautiana uelewa. Ngoja nijaribu tena!

Ninasema hivi, watu wengi wamefanyiwa ukatili huu utotoni, lakini wamekua na wakawa normal, bila kuonyesha madhara yeyote.

Haya mambo yanafichwa, kama ulivyosema kwa kuwa ni fedheha kwa jamii, wazazi na mtoto, lakini watu wakiamua kufunguka, utashangaa idadi kubwa ya watu waliofanyiwa ukatili huu.

Ninausema ukweli huu ili kuwatoa hofu familia, maana wamepaniki sana.

Kuniambia kuwa ninaweza nikawa nina halalisha ubakaji dhidi ya watoto, tena ulawiti ni unthinkable, yaani haiyumkiniki, maana hata shetani mwenyewe hawezi kuhalalisha kitu kama hiki, yeye anahalalisha kwa watu wazima wanaojitambua!

Madhara ya hiki kitendo yapo, kama kitarudiwa mara kwa mara mpaka mtoto anakua, maana atakuwa ameshakuwa shoga moja kwa moja, I repeat myself, KAMA KITARUDIWA MARA KWA MARA HADI MTOTO ANAKUA!

Hakuna madhara ya ghafla tu kama kitendo kimefanyika mara chache, nazungumzia madhara ya mbeleni, siyo yale ya kuumia sehemu ya haja kubwa.

Dada yangu Kasie yeye amezungumzia madhara ya kisaikolojia,

kwa mtoto wa miaka nane is unlikely, sana sana madhara ya kisaikolojia anaweza kuyapata mtu mzima, kutokana na maana atayokipa hicho kitendo, anaweza akajiaminisha kuwa kwa sababu amefir**, basi yeye ni sawa na mwanamke tu au sio mwanaume kamili, lakini kwa mtoto, anaweza asikipe maana yeyote kitendo hicho na hivyo kutomuathiri kisaikolojia.
 
With due respect mkuu HS CODE
 
Asante hayupo boarding yupo private day naelikuwa anamfanyia huo ukatili ni mkurungezi washule kabisa, mpaka ss yupo kituoni,mabadiliko yalitokea km Mara mbili baada yakumuona anahangaika kwenda haja Mara kwa mara ndio akafanyiwa uchunguzi.
Nashukuru kwa hii bastola ya huyu baba humu ndani,,ntaacha historia juu ya vijana wangu!Mungu aepushiee
 
Asante hayupo boarding yupo private day naelikuwa anamfanyia huo ukatili ni mkurungezi washule kabisa, mpaka ss yupo kituoni,mabadiliko yalitokea km Mara mbili baada yakumuona anahangaika kwenda haja Mara kwa mara ndio akafanyiwa uchunguzi.
Mkuu itajeni hiyo shule tuokoe watoto wengine wasio na hatia, yaani imeniumiza mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…