Mkaa wa mawe
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 5,055
- 7,496
huyo ndo akishakuwa bwabwa, kuna uwezekano mkambadilisha ni mapema sana, mpeleke kwa watalaamu wa saikolojia wasaidie kumjengea kujitambua, mkifanya mistake tu sensa inayofuata atakuwa kwenye kundi la sheHabari za usiku,
Naombeni mnisaidie kwa wataalamu wa afya, mtoto wa dada angu amelawitiwa shuleni kama mara mbili kwa maelezo yake, umri wake 8 years, amepimwa magonjwa hana, kesi ipo Polisi kwa mtuhumiwa, alikuwa ameanza dalili zakujisaidia kila mara chooni baadhi ya siku, nini kifanyike kuokoa asipate madhara ukubwani?
Kuna madhara gani yatampata? Je, atakuwa na uwezo wa kusimamisha kama kawaida au ndio kashaharibika?
Msaada wandugu.
Jifunze kuheshimu utu wa watoto wa watu.huyo ndo akishakuwa bwabwa, kuna uwezekano mkambadilisha ni mapema sana, mpeleke kwa watalaamu wa saikolojia wasaidie kumjengea kujitambua, mkifanya mistake tu sensa inayofuata atakuwa kwenye kundi la she
Usijidanganye ndugu yangu mashetani tunafuga ndaniMara nyingi (siyo zote) watoto wanaofanyiwa vitendo kama hivi wanakuwa wamekosa usimamizi wa karibu na malezi. Angalia sana, visa kama hivi vinakuwa zaidi sehemu za uswazi ambako wazazi wanazaa hovyo na hawajishughulishi na malezi ya watoto wao kwa karibu.
Jifunze kuheshimu utu wa watoto wa watu. Narudia tena m
kati yangu na mleta mada ni nani amekiuka haki ya faragha ya mtoto? Narudia tena any mistake ndo atabaki kuwa bwabwa iwe unataka kukubaliana na mimi au hutaki.Jifunze kuheshimu utu wa watoto wa watu.
Hio ni blueprint kichwani kwake haitoweza kufutikaHabari za usiku,
Naombeni mnisaidie kwa wataalamu wa afya, mtoto wa dada angu amelawitiwa shuleni kama mara mbili kwa maelezo yake, umri wake 8 years, amepimwa magonjwa hana, kesi ipo Polisi kwa mtuhumiwa, alikuwa ameanza dalili zakujisaidia kila mara chooni baadhi ya siku, nini kifanyike kuokoa asipate madhara ukubwani?
Kuna madhara gani yatampata? Je, atakuwa na uwezo wa kusimamisha kama kawaida au ndio kashaharibika?
Msaada wandugu.
Aisee mimi si Daktari lakini nimeumia SANA. Nawapa pole sana.Habari za usiku,
Naombeni mnisaidie kwa wataalamu wa afya, mtoto wa dada angu amelawitiwa shuleni kama mara mbili kwa maelezo yake, umri wake 8 years, amepimwa magonjwa hana, kesi ipo Polisi kwa mtuhumiwa, alikuwa ameanza dalili zakujisaidia kila mara chooni baadhi ya siku, nini kifanyike kuokoa asipate madhara ukubwani?
Kuna madhara gani yatampata? Je, atakuwa na uwezo wa kusimamisha kama kawaida au ndio kashaharibika?
Msaada wandugu.
Iyo kweli mtoto kuanzia miaka mi 3 na kuendelea tayari anakuwa na uwezo wa kutunza kumbukumbu za mazuri na mabaya maishani mwake hatosahau ilo tukio la unyanyasaji alilofanyiwaNapingana na wewe....!
Miaka nane kumbukumbu itabaki maisha yake yote....
Mimi na wewe hatujui mlawiti amemjaza maneno gani akilini, na hapo ndo tunasema kuathirika kisaikolojia.
Wengi wa walawiti kutokana na ushuhuda, wanawatisha watoto wanaowalawiti kwa kiwatishia wakisema watakufa, au wazazi wao watakufa au hakuna atayemuamini na atachapwa sana kwa kuonekana kaanza uhuni mapema....!
Yaani mlawiti anamvuruga mtoto kisaikolojia kiasi kwamba mtoto anakosa kujiamini...!
Na hii huwaathiri wengine hadi ukubwani hata kama hatokuwa shoga ila anakuwa muoga fisi kwa kila jambo...!
Na baadhi ya watoto wanajawa na chuki moyoni na pindi akiwa mkubwa kuanzia miaka 24 -35 hapa anakuwa huru na maisha yake, wataokuwa karibu nae wataipata habari ya madhara ya kisaikolojia aliyoyapata akiwa mtoto.
Ulevi uliopindukia
Uhuni
Husuda na chuki zisizo na kichwa wala miguu
Ukorofi na ugomvi haswa kwa watoto walioteswa na kunyanyaswa
The list is on, kama kuna mwanasaikolojia humu ataongeza maelezo.
Uyo achana naye mbishi, akasome kitabu kimoja cha psychology kinaitwa STRESS& YOUR CHILD by DR.ArchibaldWell naliacha kama lilivyo, siko mzuri kwenye hoja kama hizi ambazo zinagusa maisha ya watu.
Najua, najua na nina mifano hai, na sio research tuu natamani niwaite hapa wanasaikolojia 3 tu wanaohusishwa / wanaoshughulika na kesi za watoto waliolawitiwa, athari zao hadi utu uzimani.
Ingekuwa hoja za mahusiano na mapenzi ningetitirika pindi. Ila kwa hii.....
Mic 🎙 🎤 down...!
Watoto walindwe kama mboni ya jicho ilindwavyo.Mmh! I see, kweli tunatofautiana uelewa. Ngoja nijaribu tena!
Ninasema hivi, watu wengi wamefanyiwa ukatili huu utotoni, lakini wamekua na wakawa normal, bila kuonyesha madhara yeyote.
Haya mambo yanafichwa, kama ulivyosema kwa kuwa ni fedheha kwa jamii, wazazi na mtoto, lakini watu wakiamua kufunguka, utashangaa idadi kubwa ya watu waliofanyiwa ukatili huu.
Ninausema ukweli huu ili kuwatoa hofu familia, maana wamepaniki sana.
Kuniambia kuwa ninaweza nikawa nina halalisha ubakaji dhidi ya watoto, tena ulawiti ni unthinkable, yaani haiyumkiniki, maana hata shetani mwenyewe hawezi kuhalalisha kitu kama hiki, yeye anahalalisha kwa watu wazima wanaojitambua!
Madhara ya hiki kitendo yapo, kama kitarudiwa mara kwa mara mpaka mtoto anakua, maana atakuwa ameshakuwa shoga moja kwa moja, I repeat myself, KAMA KITARUDIWA MARA KWA MARA HADI MTOTO ANAKUA!
Hakuna madhara ya ghafla tu kama kitendo kimefanyika mara chache, nazungumzia madhara ya mbeleni, siyo yale ya kuumia sehemu ya haja kubwa.
Dada yangu Kasie yeye amezungumzia madhara ya kisaikolojia,
kwa mtoto wa miaka nane is unlikely, sana sana madhara ya kisaikolojia anaweza kuyapata mtu mzima, kutokana na maana atayokipa hicho kitendo, anaweza akajiaminisha kuwa kwa sababu amefir**, basi yeye ni sawa na mwanamke tu au sio mwanaume kamili, lakini kwa mtoto, anaweza asikipe maana yeyote kitendo hicho na hivyo kutomuathiri kisaikolojia.
Naafikiana na wewe. Sababu naziweka kapuni.Labda, kama kuna utafiti kusapoti hii dhana, sawa. Lakini ninaiona ni nadharia zaidi kuliko uhalisia, sasa kwa mfano; kama mlawiti alikuambia utakufa na baada ya kukua ukagundua ni uwongo, unaathirikaje?
AMESHAKUWA MKUBWA SASA;
Anakuwa muoga kwa sababu ya nini? Kwamba atalawitiwa tena au?
Anakuwa mlevi kwa sababu gani? Kwamba ana stress kwa kuwa alilawitiwa utotoni?
Nini kinamfanya awe mhuni?, kumbukumbu ya utotoni?
Husuda na chuki? Mmh!
Ukorofi na ugomvi hasa kwa watoto walioteswa na kunyanyaswa, sawa, kuteswa na kunyanyaswa hiyo ni ishu nyingine...
Ninasema hivi sio kwa kuendekeza ubishi hapana, bali sioni uhusiano na wala hakuna takwimu za kulithibitisha hili, zaidi ya nadharia tu na imani zinazosababishwa na dhana tu za kubuni, zinazoonyeshwa kwenye maigizo ya luninga na hadithi za kutunga zinazoandikwa kwenye vitabu.
Ni asilimia kubwa sana ya watu wamefanyiwa vitendo hivi utotoni, tena wengi wanafanyiwa na ndugu wa karibu, lakini ukubwani wako kawaida kabisa na hawana kasoro zozote.
Ninaweza nisiwe sahihi kwa mtazamo huu, i stand to be corrected!
Pamoja kiongozi.Naafikiana na wewe. Sababu naziweka kapuni.
Zamani ilikuwa ngumu sana kulea mtoto wa kike. Siku hizi imekuwa zaidi ya ngumu kumlea mtoto wa kiume. Umakini wa hali ya juu sana unahitajika. Pole mleta mada.
Hz kesi za namna hi naaona watuhumiwa wengi wako uraiani wanatamba sna Ni nadra San kusikia mtu kaukumiwa kwa kumlawiti mtu au mtoto hz kesi sijawai sisikia Kama watuhumiwa wanapelekwa jelaa pole sna mzee utashanaga kuona jamaa anapeta tu mtaani na kesi za ubakaji huwa Zina dhamana tuliwai mpeleka mtu kituoni tukashamaga kuona yupo anadunda tuliona aibu snaDaah nimeumia Sana.....my son ana umri kama huo....Yan napata picha kama ndio angekuwa mwanangu ingekuwaje? Poleni Sana mkuu.....muwajibisheni mtuhumiwa ipasavyo
Kumbe yule bwana wa Chattle labda nae alifanyiwa hivi ila usihofu mkuu watoto wengi tu wamefanyiwa hivi utotoni na leo wanakula papuchi kimasihara kabisa tena wanafuck kama mashine
Hafadhali mumegundua mapema la sivyo tungeongeza idadi ya kina cocastic maana haramu hunoga na kuacha ni shughuli.Habari za usiku,
Naombeni mnisaidie kwa wataalamu wa afya, mtoto wa dada angu amelawitiwa shuleni kama mara mbili kwa maelezo yake, umri wake 8 years, amepimwa magonjwa hana, kesi ipo Polisi kwa mtuhumiwa, alikuwa ameanza dalili zakujisaidia kila mara chooni baadhi ya siku, nini kifanyike kuokoa asipate madhara ukubwani?
Kuna madhara gani yatampata? Je, atakuwa na uwezo wa kusimamisha kama kawaida au ndio kashaharibika?
Msaada wandugu.