Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Habari JamiiForums,
Katika pita pita zangu nimebahatika kukutana na hii clip, hii clip inaonyesha mabinti wadogo wakipewa medali na miongoni mwao alikuwepo binti mwenye asili ya rangi nyeusi akarukwa na mpaka mwisho hakupewa.
Binafsi huwa siamini sana kama rangi nyeusi tunaonewa ila naamini sisi wenyewe tumetengeneza mazingira ya kufanya tudharaulike .
Nini kifanyike kwa wananchi na viongozi tuondokane na mitazamo kama hii kwa mtu mweusi?