Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Hapa ndio utawakubali mwamba kama Idd Amin Dada upumbavu kama huo alikuwa avumilii.
Nyie endeleeni kuwanyenyekea mtawalamba hadi *****
Nyie endeleeni kuwanyenyekea mtawalamba hadi *****
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano Africa ndio tungekuwa tunawapa misaada na uchumi uko vizuri hali hiyo ingekuwepo ?Hapo ni rangi tu, haijalishi kama uchumi ni mzuri au mbaya.
Mpaka kufikia kuwa katika hayo mashindano, nina uhakika wazazi wa huyo binti kama wa hao wenzake, pesa zimewatoka kuwaandaa.
Uchumi ungekuwa vizuri, pengine tusingekuwa katika nchi zao, ila kubaguliwa kungekuwepo, kwani rangi, au pengine sijui wanafikiri ni uchafu ingekuwepo kama sasa.Mfano Africa ndio tungekuwa tunawapa misaada na uchumi uko vizuri hali hiyo ingekuwepo ?
😅😅Kila mwarabu ni muislamu?
Wewe kunywa maji taka ya Kibera yamekuvuruga akili. Nenda Dubai ukazoe taka labda zitarudi sawaMK254 njoo uone hawa sio magaidi
Huo ni ujinga wake binafsi wasihusishwe wazungu wote.Wa kumruka mtu anaonekana wazi. Mbele ya vyombo vya habari.
Imeniuma maana binti yangu kaanza maisha na hao wabaguzi akiwa 3 years! Ni miaka 30 iliyopita, si ajabu naye aliumizwa hivyoHabari JamiiForums,View attachment 2761944
Katika pita pita zangu nimebahatika kukutana na hii clip, hii clip inaonyesha mabinti wadogo wakipewa medali na miongoni mwao alikuwepo binti mwenye asili ya rangi nyeusi akarukwa na mpaka mwisho hakupewa.
Binafsi huwa siamini sana kama rangi nyeusi tunaonewa ila naamini sisi wenyewe tumetengeneza mazingira ya kufanya tudharaulike .
Nini kifanyike kwa wananchi na viongozi tuondokane na mitazamo kama hii kwa mtu mweusi?
Usiseme hivyo! Huwezi jua, dunia duaraSawaa tuu,walifuata Nini kule wakti kiasili ni kigoma ujiji.
Putin hawanyongi wazungu wote anawaua waukraine wasio na hatia wasioikosea chochote Africa kwani Ukraine imetukosea nini? Mpaka ushabikie kuawa kwaoPutin endelea kuwanyonga hawa wazungu wajinga
Hii imenifanya nichukie sana hii ngozi nyeupe.Habari JamiiForums,View attachment 2761944
Katika pita pita zangu nimebahatika kukutana na hii clip, hii clip inaonyesha mabinti wadogo wakipewa medali na miongoni mwao alikuwepo binti mwenye asili ya rangi nyeusi akarukwa na mpaka mwisho hakupewa.
Binafsi huwa siamini sana kama rangi nyeusi tunaonewa ila naamini sisi wenyewe tumetengeneza mazingira ya kufanya tudharaulike .
Nini kifanyike kwa wananchi na viongozi tuondokane na mitazamo kama hii kwa mtu mweusi?
IDD Amini sio mfano mzuri kabisa maana yeye pia aliramba makalio ya waarabu.Hapa ndio utawakubali mwamba kama Idd Amin Dada upumbavu kama huo alikuwa avumilii.
Nyie endeleeni kuwanyenyekea mtawalamba hadi *****
Ubaguz hauwez kuisha kama jamii yako inaemtegemea kiuchumi kiteknolojoa na kiutamadun jamii nyingine. Jikomboe kwanza kwenye hayo matatu then the rest inajisolve yenyewe.Habari JamiiForums,View attachment 2761944
Katika pita pita zangu nimebahatika kukutana na hii clip, hii clip inaonyesha mabinti wadogo wakipewa medali na miongoni mwao alikuwepo binti mwenye asili ya rangi nyeusi akarukwa na mpaka mwisho hakupewa.
Binafsi huwa siamini sana kama rangi nyeusi tunaonewa ila naamini sisi wenyewe tumetengeneza mazingira ya kufanya tudharaulike .
Nini kifanyike kwa wananchi na viongozi tuondokane na mitazamo kama hii kwa mtu mweusi?
Hiyo ni meme achana na mambo ya utaju😅😅Si huwa mnasema ndio lugha ya peponi, yaani nyie watu kichekesho...
![]()