Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
So sadHalafu tukija mnatugawia bandari bure. Nyie mkija tunawafanya vijakazi wasio na faida.
AiseeLazy people
Ujinga upi hapo ?Sioni ubaguzi, naona ujinga wa mtoa medali.
Wa kumruka mtu anaonekana wazi. Mbele ya vyombo vya habari.Ujinga upi hapo ?
π π π Jamani hata matukio ya bastola kwa watu weusi.Ugaidi uko wapi hapo, kwa hiyo unaona hii imehalalisha nyie kuchinja wasio wa dini yenu...
π π π Jamani hata matukio ya bastola kwa watu weusi.
Hapo ni rangi tu, haijalishi kama uchumi ni mzuri au mbaya.Habari JamiiForums,View attachment 2761944
Katika pita pita zangu nimebahatika kukutana na hii clip, hii clip inaonyesha mabinti wadogo wakipewa medali na miongoni mwao alikuwepo binti mwenye asili ya rangi nyeusi akarukwa na mpaka mwisho hakupewa.
Binafsi huwa siamini sana kama rangi nyeusi tunaonewa ila naamini sisi wenyewe tumetengeneza mazingira ya kufanya tudharaulike .
Nini kifanyike kwa wananchi na viongozi tuondokane na mitazamo kama hii kwa mtu mweusi?
Putin mwenyewe unamuweka wapi? Ni mmoja wa wabaguzi, isingekuwa rasilimali za Afrika ungelitambua hilo.Putin endelea kuwanyonga hawa wazungu wajinga
π π Kila mwarabu ni muislamu?Wale hufanya matukio ya bastola kwa weusi huwa hawajaagizwa kidini, unakuta ni mtu binafsi na chuki zake..........tofauti sana ya kwenu nyie, kwanza mnachinja waafrika wenzenu kisa muarabu kawaagiza.
Wapi Putin anawachinja wazungu? By the way kwani Putin sio mzungu?Putin endelea kuwanyonga hawa wazungu wajinga
Putin sio mzungu mjingaWapi Putin anawachinja wazungu? By the way kwani Putin sio mzungu?