Nini kifanyike kukomesha Wanaume kuwatelekeza Mke na Mtoto/Watoto wao?

Jamii ilipofika kuhusu ndoa na malezi ni kwenye kona kali yenye makali ya wembe, tukisema turudi nyuma tutakatwa katwa, twende tu vizazi vijacho vitajipanga upya.
 
Sio wanaume wote Bali baadhi yao ndo wako hivyo lakini elewa na wakinamama nap ni changamoto Ila wababa wagumu kulalamika wafanyiwayo majumbani mwao mwisho wa siku maamuzi ni kusepa tu karibu kuongea na baba aliesepa akupe mikanda utachoka
 
Situations zinatofautiana
It's simple kwa mwanaume kuondoka na kuacha watoto pia kuna upande wa pili wa mwnaamke pia wanateseka mno wapo ndani ya ndoa lakini majukumu yote ni yao lakini hawawezi kuondoka wakaacha watoto wao nyuma
 
Kama anaondoka na kushiriki malezi ya Watoto ni afadhali.....ila sasa Mtu anakata kabisa mawasiliano hao Watoto waishije?.
 

Labda na yeye ni MBUZI [emoji3]
 

"Handsome,maarufu,ana six park,tunaendana,anavaa vizuri,mtanashati,ana gari,ana kazi nzuri n.k"

True 100%.
 
😂😂😂Umenichekesha uliposema anakuangalia kwa jicho la wew bado mdogo tulia niwape utamu wakubwa zako alafu et unawapa jicho la mbwa wa polisi😂😂
 
tatizo wanawake wa siku hizi wanaongea Sana.

gubu
visilani
dharau
kauli chafu
ubishi
ujuaji mwingi
kujiamini kupita kiasi.

Sasa hapo mwanaume atakaaje na mwanamke chizi?

Hizi tabia ndio zinazowagharimu wanawake kwenye mahusiano.
 
Kuanzishwe mfuko ambao Wanaume wote wenye kipato wachangie kwa mwaka na pesa zitumike kutunza Watoto wale waliokimbiwa na Baba zao.
 
Na hapa ndio tatizo kubwa,matatizo yote ni wao wenyewe Wanawake mwanamke anataka aku control.
 
Kuanzishwe mfuko ambao Wanaume wote wenye kipato wachangie kwa mwaka na pesa zitumike kutunza Watoto wale waliokimbiwa na Baba zao.
Suluhisho sio michango. Hali hiyo ndio itaongezeka zaidi kukiwa na fedha

Itafutwe chanzo cha tatizo kisha kuwe na mpango mkakati wa kusolve kuanzia kwenye Familia, jamii hadi kwenye Dini zetu.
 
Una muuliza mbuzi chief atakujibu kwelii,?kama hatokuja hapa na meee meeee zakee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…