Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wanaume wote Bali baadhi yao ndo wako hivyo lakini elewa na wakinamama nap ni changamoto Ila wababa wagumu kulalamika wafanyiwayo majumbani mwao mwisho wa siku maamuzi ni kusepa tu karibu kuongea na baba aliesepa akupe mikanda utachokaNi jana tu tulikuwa tunazungumza na Mtu akanieleza namna ambavyo Dada yake alivyopambana na maisha mpaka kufikia kujijenga kiuchumi, aliweza kujijengea vyumba vyake viwili vya kuishi na biashara yake ya duka la rejareja.
Baadae alipata mwenza na kubahatika kupata Watoto wawili....baadae Baba Watoto akaondoka na kumuachia Dada mzigo wote wa malezi hali iliyosababisha hali ya biashara kuyumba na ikambidi kufunga lile duka....na inasemekana Jamaa tayari ameanzisha familia nyingine huko alipo huku Mama amebaki anateseka na Watoto.
Na leo nimesikiliza vipindi redioni nako nimesikia stori za kina Mama waliokimbiwa na Wenza wao na kuachiwa Watoto tena wenye changamoto za kiafya.
Tukomeshaje hili?.
Atakimbia mwenyewe hata kwa kujikongojaNa kwann umpokee mtu kama huyu kujiletea nuksi kwenye maisha yako?!
Situations zinatofautianaKuna aina mbili za kutelekeza watoto
1. Wanaume wapumbavu wasiojielewa ambao wanazalisha wadada na kukimbia majukum( hawa inabidi sheria kali itungwe kuwadhibiti hata ikibidi waasiwe)
2. Kuna wababa wanakimbia mateso kwenye ndoa( hapa sasa ni papana sana )
Jaman kuna ndoa wanaume wanateseka au wanapitia nyakat ngumu nyie achen tu! Babangu alishawah nieleza kuwa kuna kipind alichoka mpk alitaka kukimbia mji
(Wanaume wa iv mateso au ndoa ikizid kuwa ngumu kwao mwishowe huona badala ya kumfukuza mama akateseke na watoto wao huondoka na kuacha kila kitu wanaenda kuanza moja maisha)
Jaman kuna wanawake wanasumbua kwenye ndoa hasa ukikubali kujishusha na kuwa mpole ili angalau ndoa iwe na aman wao wanaitumia nafasi vzr na kuona wamekutawala na kukunyanyasa vibaya mno
Kama anaondoka na kushiriki malezi ya Watoto ni afadhali.....ila sasa Mtu anakata kabisa mawasiliano hao Watoto waishije?.Kuna aina mbili za kutelekeza watoto
1. Wanaume wapumbavu wasiojielewa ambao wanazalisha wadada na kukimbia majukum( hawa inabidi sheria kali itungwe kuwadhibiti hata ikibidi waasiwe)
2. Kuna wababa wanakimbia mateso kwenye ndoa( hapa sasa ni papana sana )
Jaman kuna ndoa wanaume wanateseka au wanapitia nyakat ngumu nyie achen tu! Babangu alishawah nieleza kuwa kuna kipind alichoka mpk alitaka kukimbia mji
(Wanaume wa iv mateso au ndoa ikizid kuwa ngumu kwao mwishowe huona badala ya kumfukuza mama akateseke na watoto wao huondoka na kuacha kila kitu wanaenda kuanza moja maisha)
Jaman kuna wanawake wanasumbua kwenye ndoa hasa ukikubali kujishusha na kuwa mpole ili angalau ndoa iwe na aman wao wanaitumia nafasi vzr na kuona wamekutawala na kukunyanyasa vibaya mno
Sasa mbuzi na binadamu wapi na wapi wewe..... Mbuzi wanakula ugali?!
Mbuzi wanafunga ndoa?!
Mbuzi wanapiga kura?! Ingawa tunajua mbuzi wote wanakadi ya ccm.
Mbuzi wanasmartphone?!
Mbuzi wanajenga nyumba?!
Mbuzi wanatoka out?!
Mbuzi wanafanya shopping?!
Mbuzi wanaajiriwa?!
Mbuzi wanasoma?!
Eti wewe, si nakuuliza lakini?!
Watoto wasiwe jela mkuu ntaondoka ila watoto ntawatumia matumizi,alafu elewa kwamba watoto ni wetu wote akiwahudumia siyo mbaya.Vipi Watoto?
Dawa ni kujitunza na kujiheshimu. Ni kweli kuwa Kuna wanaume ambao hawajui kuwa kuna majukumu, na hao ndio kimbilio lenu. Kisa? Handsome,maarufu,ana six park,tunaendana,anavaa vizuri,mtanashati,ana gari,ana kazi nzuri n.k
Iwapo hamtafanya machaguo sahihi au mtayumba mkiwa katika machaguo sahihi kwa kuonyesha dharau,kiburi,jeuri,kukosa uaminifu na msimamo na kushindana na wanaume hivi vilio vitaendelea.
Poleni
😂😂😂Umenichekesha uliposema anakuangalia kwa jicho la wew bado mdogo tulia niwape utamu wakubwa zako alafu et unawapa jicho la mbwa wa polisi😂😂Hii ni kweli kabisa. Wanawake huwa hawahitaji mwanaume serious hadi wakishapigwa mashine na kuzaa na wanaume wasio na ramani ya maisha hawa masharobaro wao hao.
Wengi wa mabinti niliokuwa nawatamani sana enzi zile za kupevuka sasa hivi ni walezi wa watoto bila baba. Na tukionana ni salamu tu na kusaidiana kama vijana ila mazoea nao sina.
Na mbaya zaidi wengi aidha wanaingia 30 au ndio wameshaingia.......
Sasa huwa nauliza hizi akili wanazokuwa nazo wakati huu mbona hazikuwako kipindi kile cha Maringo na kubetuliana midomo. Kila siku mtu anarudishwa na magari tofauti anakuangalia jicho la we bado mdogo tulia niwape utamu wa kubwa zako.
Nikikutana nao nowadays nawapa jicho la mbwa wa polisi.....
tatizo wanawake wa siku hizi wanaongea Sana.
gubu
visilani
dharau
kauli chafu
ubishi
ujuaji mwingi
kujiamini kupita kiasi.
Sasa hapo mwanaume atakaaje na mwanamke chizi?
Na hapa ndio tatizo kubwa,matatizo yote ni wao wenyewe Wanawake mwanamke anataka aku control.Kuna aina mbili za kutelekeza watoto
1. Wanaume wapumbavu wasiojielewa ambao wanazalisha wadada na kukimbia majukum( hawa inabidi sheria kali itungwe kuwadhibiti hata ikibidi waasiwe)
2. Kuna wababa wanakimbia mateso kwenye ndoa( hapa sasa ni papana sana )
Jaman kuna ndoa wanaume wanateseka au wanapitia nyakat ngumu nyie achen tu! Babangu alishawah nieleza kuwa kuna kipind alichoka mpk alitaka kukimbia mji
(Wanaume wa iv mateso au ndoa ikizid kuwa ngumu kwao mwishowe huona badala ya kumfukuza mama akateseke na watoto wao huondoka na kuacha kila kitu wanaenda kuanza moja maisha)
Jaman kuna wanawake wanasumbua kwenye ndoa hasa ukikubali kujishusha na kuwa mpole ili angalau ndoa iwe na aman wao wanaitumia nafasi vzr na kuona wamekutawala na kukunyanyasa vibaya mno
Suluhisho sio michango. Hali hiyo ndio itaongezeka zaidi kukiwa na fedhaKuanzishwe mfuko ambao Wanaume wote wenye kipato wachangie kwa mwaka na pesa zitumike kutunza Watoto wale waliokimbiwa na Baba zao.
Una muuliza mbuzi chief atakujibu kwelii,?kama hatokuja hapa na meee meeee zakee...Sasa mbuzi na binadamu wapi na wapi wewe..... Mbuzi wanakula ugali?!