Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
Mada hii ni muhimu sana kwa mustakabali wetu kama taifa. Nini Kifanyike?Tatizo ni serikali yetu walivyotutoa kwenye reli na kutuaminisha uzalendo ni kuipenda serikali iliopo madarakani na sio kwa nchi au taifa
Tafuta clip moja ipo youtube magufuli alipoonana na viongozi wakuu wastaafu. Kuna maneno aliambiwa na Majaji wakuu wastaafu Augustino Ramadhan (Mungu amrehemu) na Barnabas Samata. Majibu ya hilo swali lako yapo kwenye michango yao kwenye kile kikao
Kama huwezi kuiona mwambie mkuu bagamoyo akuletee ile clip humu
Cha kwanza na muhimu kuliko vyote katika kukuza uzalendo wa kweli , sio wa sasa wa kumsifia rais kila baada ya sentensi moja ni kuitoa ccm madarakani na mwishoe kukifuta kabisa chama kinachoitwa ccm.Wanajamvi.
Ili nchi yoyote iweze kiendelea inahitaji wananchi wake wawe na uzalendo. Kwa maoni yenu, nini Kifanyike ili kukuza uzalendo miongoni mwetu sisi raia wa Tanzania?
Kwanza tuwe na rais asiye mkabila, pili tuwe na katiba mpya, tatu tuwe na tume huru ya uchaguzi, tano kusiwe na udikteta, sita watumishi wa serikali wawe na mishahara mizuri, na saba serikali iweke wazi takwimu mbalimbali za kiuchumi, nkWanajamvi.
Ili nchi yoyote iweze kiendelea inahitaji wananchi wake wawe na uzalendo. Kwa maoni yenu, nini Kifanyike ili kukuza uzalendo miongoni mwetu sisi raia wa Tanzania?
Alipata wapi huo ujasiri, huwa tunawaona wakina Ibrahim Jay na wenzake , wao kazi yao kuimba mapambio tu.5 July 2018
Jaji mstaafu amkosoa Magufuli Ikulu
ondoeni kwanza udikteta , utekaji na mauaji , warudisheni waliopotea ,Wanajamvi.
Ili nchi yoyote iweze kiendelea inahitaji wananchi wake wawe na uzalendo. Kwa maoni yenu, nini Kifanyike ili kukuza uzalendo miongoni mwetu sisi raia wa Tanzania?
Asante sana mkuu Bagamoyo. Uko sehemu sahihi wakati sahihi5 July 2018
Jaji mstaafu amkosoa Magufuli Ikulu
Hawa ndo walikuwa majaji ndugu. Sio hawa wa sasaivi ambao wanamuogopa raisi kama Mungu. Hawa walikuwa ndo majaji wanaojua nafasi zao kama majaji. Na magufuli angewasikiliza hawa asingekuwa na hizi shida anazopata saiviAlipata wapi huo ujasiri, huwa tunawaona wakina Ibrahim Jay na wenzake , wao kazi yao kuimba mapambio tu.
Magufuli alishasema ukimshauri ndio unaharibu zaidi, in short hapokei ushauri wa mtu.Hawa ndo walikuwa majaji ndugu. Sio hawa wa sasaivi ambao wanamuogopa raisi kama Mungu. Hawa walikuwa ndo majaji wanaojua nafasi zao kama majaji. Na magufuli angewasikiliza hawa asingekuwa na hizi shida anazopata saivi
Bila haki na utawala bora wazalendo watakuwa wale wanao kula keki ya taifa kimtindo.Haki ishike hatamu
Na Ndo mana tunamstaafisha rasmi siasa mwaka huu 2020 hapo October kwa kuliweka Tundu Antipas Lissu ikulu.Magufuli alishasema ukimshauri ndio unaharibu zaidi, in short hapokei ushauri wa mtu.
Asante sana mkuu Bagamoyo. Uko sehemu sahihi wakati sahihi
Asante mkuu Bagamoyo. Kwenye huu mkutano mie niliwapenda hao majaji wastaafu tu. Ndo mana mpaka kesho hamna watu ninaowaona wa kipekee kama majaji. Hawa watu huwa wana logic sana. Nakumbuka walimuonya vizuri sana magufuli ila akashupaza shingo. Mwaka huu sasa lazima ale kiburi chake kwa kukataa ushauri mzuriJULAI 2018
Hii hapa kwa urefu zaidi Mkutano wa Viongozi wastaafu Majaji, Mawaziri Wakuu, Maspika
4 Jul 2018
Hii ni mara ya kwanza kwa Mhe. Rais kukutana na viongozi hao wakuu wastaafu na kupokea ushauri na maoni yao juu ya uendeshaji wa Serikali na mustakabali wa Taifa. Katika mkutano huo tu hao wamemshukuru Mhe. Rais Magufuli kwa kuwaita kwa lengo la kusikiliza ushauri na maoni yao, na wamempongeza kwa kazi kubwa iliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano katika kipindi kifupi cha miaka miwili na nusu tangu ilipoingia madarakani.