MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Wakuu kwa wiki kadhaa sasa mitandaoni kumeenea habari za madereva hasa wa Tanzania na Zambia kupata matatizo nchini Congo. Kuna hadi ambao wamepoteza maisha. Kimsingi dereva akiingia tu Congo usalama unakuwa mashakani. Huko kuna vikundi vya kihalifu vinavyopora malori.
Je, nini kifanyike kuondokana na hii kero? Nimeona kuna watu wamesema kujengwe bandari kavu karibu na mpaka wa Kasumbalesa na mizigo ishushwe pale ili wakongo wenyewe waje kubebea pale kisha kuipeleka kwao.
Nini maoni yako?