Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Baada ya siasa za Tanzania kufanywa na dola badala ya wanasiasa imani ya wananchi imepotea kuhusu haki ya kuchagua na kuchaguliwa.
Awali ilikuwa dola haijitokezi adharani kudhibiti wanasiasa ila kwa zaidi ya miaka nane sasa wanasiasa wameonyesha kuweka dola mbele zaidi.
Je ni lini dola itaachana na siasa za majukwaani na kuwaachia wanasiasa wapambane?