My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
Siyo kweli mkuu,Maprodyuza kuwabadilisha watu kwa kile msanii anachokifanya na kumtaka afanye tofauti na vile anavyoomba msanii.
AsanteMimi nazani mziki wa bongo freva tuendelee tulipoishia japo mziki unahitaji kuwa updated hatuwezi kurudi tena kule kwenye mziki wakina pfunk kingine wasanii wetu wajikite kuimba kutengeneza mziki wa live
msuka biti, vinanada na mapiano akitengeneza midundo ya kikwetu au vinginevyo lakini mtamu,Nani alaumiwe kwenye Hilo?
Asante Sana , era yao ishapita wasitunya'nya'se waache tuporomoshe midundo tuKila muziki na zama zake... kujaji muziki wa sasa kwa kutumia miziki ya zamani sio sahihi..
Kizazi cha sasa wanapenda muziki wa sasa... cha zamani wanapenda muziki wa zamani...! Ndio nyakati hizo... muziki wa sasa wala sio mbaya ni kwamba wale wa zamani wanataka mziki wa kizazi cha sasa ufanane na wa kwao, haiwezekani...
Hicho ndcho tunachopitia maproducers alafu ndy tunaonekana tunamakosa bila wasikilizaji kujua tukiwa studio inakuajemsuka biti, vinanada na mapiano akitengeneza midundo ya kikwetu au vinginevyo lakini mtamu,
msanii anamuelekeza vinginevyo, mara oohh toa mlio huu, weka hivi, toe ile, ooh hii ungeweka hivi ndio poa inafanana na ya 50 watu wataipenda ohh, ooh sijui weka ivi ili ifanane na ile ya davido ila isifanane sana. yaan vuluvulu tyuuuu
Exactlymsanii anafuata mashabiki,
mashabiki wanapenda amapiano, msanii hana namna, ataruka na amapiano apate maokoto
wachache kama kina Mista2, AY ambao hawategemei maokoto kwa music wako na ladha yao ile ya kitambo
Hizo ni mbwembwe na burudani tu mkuu lakini hazina maana yoyoteSikiliza hizi.
Chura, amelowa, hanii,weka nchomeke,nyege nyegezi,kamatia chini, enjoy,bia tamu,konde anaanza na sauti ya kupaliwa Moshi wa bangi.
Ngoja kwanza niwapige hela za kutosha hawa wasanii then nitacreate another soundJaribu kuboresha segeli unaweza pata sounds yako itakayokutambulisha duniani na sio hayo ma mapiano ya wasauzi
Kweli wapige hela hao maana hawataki kufikiri kitu kingine lakini uanze kutest sound mbalimbali mapema kabla hujaja na sound Moja ya kuutambulisha mziki wakoNgoja kwanza niwapige hela za kutosha hawa wasanii then nitacreate another sound
Hatujawahi kupromote hayo mambo mkuu by the way Asante kwa mchango wako
alionana nao wapi hao mashabiki kabla hajatoa huo wimbo na wakwambwambia wanataka mapiono....msanii anafuata mashabiki,
mashabiki wanapenda amapiano, msanii hana namna, ataruka na amapiano apate maokoto
wachache kama kina Mista2, AY ambao hawategemei maokoto kwa music wako na ladha yao ile ya kitambo
TusameheeniUnateteaje mambo yapo wazi...miziki iliyopo ni aibu tupu
Kama ulikua una maamuzi haya au mtazamo huu,kwanini umefungua thd na kutaka maoni ya pande zote mbili? i meant wapenda mziki wa zamani na wa sasa?Asante Sana , era yao ishapita wasitunya'nya'se waache tuporomoshe midundo tu
Asante 🙏Mziki wa sasa umetawaliwa na ushabiki zaidi kuliko uhalisia wa mziki wenyewe,
Mfano Diamond akitoa wimbo basi watu wasiompenda watauponda au Kiba akitoa wimbo basi wasiompenda wataupondo,nyimbo za sasa hivi vijana wanaangalia zaidi wimbo huo umeimbwa na nani na sio wimbo gani ndio mzuri,mziki wa sasa hivi umekua na makundi ambayo wenyewe wanayaita Team
So,issue sio mziki mzuri au mbaya bali hizi team ndio hazieleweki zinataka nini hasa?
Anyway ngoja niwaachie vijana miziki yao.
Hizo team ni kwa faida yenu ila sio kwa quality ya mziki kwa wateja,mtu anakua anaipenda nyimbo kisa tu imeimbwa na mwimbaji anayemshabikia.Asante 🙏
Ila sometimes timu ndy zinaleta ushindani na kufanya industry itulipe