Nini kifanyike kwenye bongo fleva ya Sasa?

Nini kifanyike kwenye bongo fleva ya Sasa?

Ni kweli Vizazi vinakwemda vinabadirika lakini Miziki ya sasa hivi ni kama imeruka stages imekwenda mbaali zaidi maana hata vijana wengin tu hawazipendi hawana tu budi kuiskiliza, wimbo ndio ushaimbwa sasa Na mashabiki wanaozipenda Ni wachche tu ila wenye nguvu ya mob psychology Mfno wenye mabar, bod bod vishandu, na some other stupids 😂

Wakulaumiwa Ni Big playerss Kama wasafi wanaleta products za matusi na wanalazimisha zipenye Tena kaathiri wengi tu, mbna alikiba, aslay hawana matusi mazito na nyimbo zao zina radha na wanasikilizwa,

Anyway lakufanya HAKUNA,
 
Kila muziki na zama zake... kujaji muziki wa sasa kwa kutumia miziki ya zamani sio sahihi..
Kizazi cha sasa wanapenda muziki wa sasa... cha zamani wanapenda muziki wa zamani...! Ndio nyakati hizo... muziki wa sasa wala sio mbaya ni kwamba wale wa zamani wanataka mziki wa kizazi cha sasa ufanane na wa kwao, haiwezekani...
 
Maprodyuza kuwabadilisha watu kwa kile msanii anachokifanya na kumtaka afanye tofauti na vile anavyoomba msanii.
Siyo kweli mkuu,
Sisi maproducer niwauzaj wa production nzima ya nyimbo na wasanii ni wateja wetu,
Unakuta msanii anakuja studio anataka mdundo wa mapiano au afro fusion, ukimuonyesha instrumentals za bongo flava anazikataa au anataka uzimix na piano au genre nyingine ya muziki na ukigoma anaenda kwa producer mwingine ,
Sasa kwa sababu Mimi nataka pesa inabidi tu nimchapie piano moja bovu ili aendelee kuwa mteja wangu,
Kwahiyo mkuu sisi maproducer hatuna makosa Ila tunafanya tu mteja anachotaka kulingana na pesa yake ,
Tofauti nazamani ukienda studio producer anakupa mdundo anaoona wowote unaofaa ,ukitaka fanya usipotaka sepa na hela yako.
 
Nani alaumiwe kwenye Hilo?
msuka biti, vinanada na mapiano akitengeneza midundo ya kikwetu au vinginevyo lakini mtamu,
msanii anamuelekeza vinginevyo, mara oohh toa mlio huu, weka hivi, toe ile, ooh hii ungeweka hivi ndio poa inafanana na ya 50 watu wataipenda ohh, ooh sijui weka ivi ili ifanane na ile ya davido ila isifanane sana. yaan vuluvulu tyuuuu
 
Kila muziki na zama zake... kujaji muziki wa sasa kwa kutumia miziki ya zamani sio sahihi..
Kizazi cha sasa wanapenda muziki wa sasa... cha zamani wanapenda muziki wa zamani...! Ndio nyakati hizo... muziki wa sasa wala sio mbaya ni kwamba wale wa zamani wanataka mziki wa kizazi cha sasa ufanane na wa kwao, haiwezekani...
Asante Sana , era yao ishapita wasitunya'nya'se waache tuporomoshe midundo tu
 
msuka biti, vinanada na mapiano akitengeneza midundo ya kikwetu au vinginevyo lakini mtamu,
msanii anamuelekeza vinginevyo, mara oohh toa mlio huu, weka hivi, toe ile, ooh hii ungeweka hivi ndio poa inafanana na ya 50 watu wataipenda ohh, ooh sijui weka ivi ili ifanane na ile ya davido ila isifanane sana. yaan vuluvulu tyuuuu
Hicho ndcho tunachopitia maproducers alafu ndy tunaonekana tunamakosa bila wasikilizaji kujua tukiwa studio inakuaje
 
Ngoja kwanza niwapige hela za kutosha hawa wasanii then nitacreate another sound
Kweli wapige hela hao maana hawataki kufikiri kitu kingine lakini uanze kutest sound mbalimbali mapema kabla hujaja na sound Moja ya kuutambulisha mziki wako
 
msanii anafuata mashabiki,
mashabiki wanapenda amapiano, msanii hana namna, ataruka na amapiano apate maokoto

wachache kama kina Mista2, AY ambao hawategemei maokoto kwa music wako na ladha yao ile ya kitambo
alionana nao wapi hao mashabiki kabla hajatoa huo wimbo na wakwambwambia wanataka mapiono....
 
Mziki wa sasa umetawaliwa na ushabiki zaidi kuliko uhalisia wa mziki wenyewe,

Mfano Diamond akitoa wimbo basi watu wasiompenda watauponda au Kiba akitoa wimbo basi wasiompenda wataupondo,nyimbo za sasa hivi vijana wanaangalia zaidi wimbo huo umeimbwa na nani na sio wimbo gani ndio mzuri,mziki wa sasa hivi umekua na makundi ambayo wenyewe wanayaita Team

So,issue sio mziki mzuri au mbaya bali hizi team ndio hazieleweki zinataka nini hasa?

Anyway ngoja niwaachie vijana miziki yao.
 
Asante 🙏
Ila sometimes timu ndy zinaleta ushindani na kufanya industry itulipe
 
Back
Top Bottom