Chuma ya Nipe 5.. AiseeRuge ameua mziki wetu.....
Diamond kaufukia kabisa.
Siku hizi hakuna madude tena.
Midude kama ya Daz Baba haipo mnacopy bila aibu.
Hujazeeka wala nini.....Chuma ya Nipe 5.. Aisee
Siku hizi nyimbo zote zinafanana.. Ikianza Beat unaweza usiujue wimbo hadi yaanze maneno..
Labda nazeeka au trend.. Ila hizi nyimbo za Amapiano sijazielewa.. Nabaki kuisikiliza Old Schools za Bongo Fleva.
Mzee kwingine umeongea point ,Ila hapo kwenye swala la kucopy hapo umechambaRuge ameua mziki wetu.....
Diamond kaufukia kabisa.
Siku hizi hakuna madude tena.
Midude kama ya Daz Baba haipo mnacopy bila aibu.
Mnadanganyana sanaa ,,Kuna watu wanaimba sanaa hukuu mtaaniNdy ni pesa yako tu hata kama huna kipaji
Hawana hela ya studio time haooMnadanganyana sanaa ,,Kuna watu wanaimba sanaa hukuu mtaani
Mkuu ifuate hii comment hapo juu uisome mpk mwisho na usikilize hivyo vibaoDiamond aliyejikita kutoa micopy ndio wameharibu mziki huu.
Mzee kwingine umeongea point ,Ila hapo kwenye swala la kucopy hapo umechamba
Kucopy hakujaanza Leo wasanii kibao wamecopy ,
Tupac kacopy
Ngwair kacopy
Burna boy kacopy
Dr Dre kacopy
Jay z kacopy
Future kacopy
Yaan list ni ndefu mnoo mkuu,
Naomba usikilize hizi ngoma mbili naziweka hapa chini
Moja ya ngwair ft chid benz inaitwa speed 120
Na nyingine ni ya Nipsey Hussle goma inaitwa kush n' haze
Hapo ngwair alicopy na kupaste beat
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Tuliouona muziki wa singeli ukizaliwa,ilikua ni biti yoyote unaipeleka mbele kwa Kasi,singeli Haina utanzania wowote,ni kelele tuNyimbo za bongo kwa asili ni singeli. Bongo fleva ni miziki ya kuunga unga na kukopi nyimbo za nje
Achana nao hao jikite kwenye madaNajua unafurahi kuchati na hitsongs maker n' superstar zombie S2KIZZY
Screenshoot uwaoneshe na wenzio maana baadae nafuta chats
Mmmmh endeleeni kujifarijiHawana hela ya studio time haoo
Kwahiyo tukichukua Discography ya hao uliowataja tutakuta more than 40% ni copy.Mzee kwingine umeongea point ,Ila hapo kwenye swala la kucopy hapo umechamba
Kucopy hakujaanza Leo wasanii kibao wamecopy ,
Tupac kacopy
Ngwair kacopy
Burna boy kacopy
Dr Dre kacopy
Jay z kacopy
Future kacopy
Yaan list ni ndefu mnoo mkuu,
Naomba usikilize hizi ngoma mbili naziweka hapa chini
Moja ya ngwair ft chid benz inaitwa speed 120
Na nyingine ni ya Nipsey Hussle goma inaitwa kush n' haze
Hapo ngwair alicopy na kupaste beat
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Asante mkuuAchana nao hao jikite kwenye mada
Asante mkuuAchana nao hao jikite kwenye mada
😁😁😁 Kwanza mkuu umenifurahisha jinsi ulivyopita na hizo lines za ngoma ya Mwanza,Kwahiyo tukichukua Discography ya hao uliowataja tutakuta more than 40% ni copy.
One or two Songs sio issue, ila ikigeuka kuwa biashara yako ni kucopy huo ni upumbavu.
Na kama kweli wewe ni S2Kizzy, ( kama sio parody ) the way una argue inaeleza why anacopy, watu mliomzunguka.
Madhara ya Kucopy ni nini?
Hutoweza kuenda na evolution ya mziki kule ulikokuwa unacopy, maana na kwenyewe kuna badilika.
Watu wanao uliza Bongo fleva identity yake ni nini?
Ilikuwa ni uandishi na melody kali sijui Vocal ( nakosa neno sahihi la kutumia hapa, sio mtu wa mziki mimi 😎).
Mlianza kuwacopy wanaija (production) mkajikita kwenye instruments mfanane nao matokeo yake Uandishi ukawashinda ( uandishi wetu haufit kwenye aina ya mziki wao).
Mmetuletea uandishi wa ajabu sana, mfano ni huu....
"Oooh sa iweke
Ah iweke iweke… Ah iweke
Ipitishe kwa chini
Ah iweke iweke… Ah iweke
Miendo ya kazi kazini
Ah iweke iweke… Ah iweke
Hii ile ndindindii
Ah iweke iweke… Ah iweke
Ngoja shake it ivoo
Ah iweke iweke… Ah iweke
Twende shaku kidogo
Ah iweke iweke… Ah iweke
Chuma magimbimbi
Ah iweke iweke… Ah iweke"
Hii sio Bongofleva, na haitokuja kuwa Bongofleva.
Yes tulirise kwa mda, thanks kwa Copies....
Finally tumerudi tunapostahili.
Hakuna Shortcut, Bongo fleva ilele ya Dar mpaka Moro, Hakuna kulala na zile za kuimba zinaweza penya Africa umizeni Vichwa.
Msanii hapaswi kuwa boss wa producer.....!!
Saiv mmehamia Amapiano, uandishi wa ajabu ili kufit kwenye Midundo ya Amapiano.
Mitusi maneno yasiyo na maana , tunaskiliza mabeat tu.....
Mimi as producer nafanya msanii anavyotakaNimekuelewa Vizuri... Tatizo ninfesema Ni Maproducer kutokana na kufanya kazi bila elimu ilanakuta kila mdau wa Bongofleva ya sasa wengi wao ni talent na si education.. na ndio maana jibu rahisi kwa hiki kinachofanyika ni MASHABIKI NDIO WANATAKA? Lakini kiukweli ukikagua playlist za hao mashabiki hauwezi kukuta wamejaza nyimbo za Nongogleva za sasa.
Nyimbo za sasa zinawahusu walevi na wazinzi zaido so kamahao ndio wengi wa mashabiki basi kama Taifa tunapata picha ya tuna watu wa aona gani.
Nikicomment kimuziki kama muziki, sina wakumlaumu zaidi ya SERIKALI...!
Hasa harmonize mndese anaimba upuuzi tuuCha muhimu wapunguze kuimba ngono tu hasa wcb
😁😁😁Mbna yuko vizuri tuuHasa harmonize mndese anaimba upuuzi tuu
Ntakurudia.....😁😁😁 Kwanza mkuu umenifurahisha jinsi ulivyopita na hizo lines za ngoma ya Mwanza,
Hiyo inaonesha kiasi gani kazi zangu zinapenya hata kama huna nyimbo utaisikia tu hata kwa jirani,
Kingine Mimi sihusiki na mistari ya nyimbo ya msanii but nahusika na kutengeneza instrument na kum arrange msanii apite vipi kwenye beat (baadhi ya sehem nasaidia idea Sana Sana vocals na sio maandishi)
Na kumbe unachozungumzia wewe ni copies za genres na wala sio sample za beats na melody ,kama ni hivyo basi jua msanii ni mteja anakuja analipa na anahitaji anachotaka ,mfano msanii anakuja anasema anataka nimpigie mdundo wenye mahadhi ya kinaijeria basi m namsikiliza nakumshauri alafu na mix na sound ya bongo flava kwahiyo hapo natoa kitu kinaitwa afro fusion,
Yaan nikama tu uende kwafundi nguo umuelekeze unataka nguo yako ifananeje,
Na cha mwisho msanii sio boss wangu kihatimiliki bali ni boss wangu (mteja wangu) yaan ananunua muda wa studio tu (studio time) namtengenezea goma lake kisha anasepa nalo tunaishia hapo kama akitaka kurudi tena tufanye kazi ni yeye tu ,
Hili nishalisema sana kwenye interview zangu kwamba watu wengi wanadhani Mimi ni producer wa diamond,hell nah, hiyo siyo kweli ,
Bali mimi ni producer ambaye na recording studio yangu inaitwa Pluto republic records na ninatimu yangu ambayo ndy inasimamia na kulinda kazi zangu ,
Na ndio maana unasikia ngoma nyingi za wasanii mbalimbali nimefanya mimi
Mfano ,zuchu,mbosso,marioo,whozu,jux,bilnas,diamond,nyandu toz,weusi, country boy,chino,loui na wengine wengi tu
Sawa mkuuNtakurudia.....