Mzee kwingine umeongea point ,Ila hapo kwenye swala la kucopy hapo umechamba
Kucopy hakujaanza Leo wasanii kibao wamecopy ,
Tupac kacopy
Ngwair kacopy
Burna boy kacopy
Dr Dre kacopy
Jay z kacopy
Future kacopy
Yaan list ni ndefu mnoo mkuu,
Naomba usikilize hizi ngoma mbili naziweka hapa chini
Moja ya ngwair ft chid benz inaitwa speed 120
Na nyingine ni ya Nipsey Hussle goma inaitwa kush n' haze
Hapo ngwair alicopy na kupaste beat
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Kwahiyo tukichukua Discography ya hao uliowataja tutakuta more than 40% ni copy.
One or two Songs sio issue, ila ikigeuka kuwa biashara yako ni kucopy huo ni upumbavu.
Na kama kweli wewe ni S2Kizzy, ( kama sio parody ) the way una argue inaeleza why anacopy, watu mliomzunguka.
Madhara ya Kucopy ni nini?
Hutoweza kuenda na evolution ya mziki kule ulikokuwa unacopy, maana na kwenyewe kuna badilika.
Watu wanao uliza Bongo fleva identity yake ni nini?
Ilikuwa ni uandishi na melody kali sijui Vocal ( nakosa neno sahihi la kutumia hapa, sio mtu wa mziki mimi 😎).
Mlianza kuwacopy wanaija (production) mkajikita kwenye instruments mfanane nao matokeo yake Uandishi ukawashinda ( uandishi wetu haufit kwenye aina ya mziki wao).
Mmetuletea uandishi wa ajabu sana, mfano ni huu....
"Oooh sa iweke
Ah iweke iweke… Ah iweke
Ipitishe kwa chini
Ah iweke iweke… Ah iweke
Miendo ya kazi kazini
Ah iweke iweke… Ah iweke
Hii ile ndindindii
Ah iweke iweke… Ah iweke
Ngoja shake it ivoo
Ah iweke iweke… Ah iweke
Twende shaku kidogo
Ah iweke iweke… Ah iweke
Chuma magimbimbi
Ah iweke iweke… Ah iweke"
Hii sio Bongofleva, na haitokuja kuwa Bongofleva.
Yes tulirise kwa mda, thanks kwa Copies....
Finally tumerudi tunapostahili.
Hakuna Shortcut, Bongo fleva ilele ya Dar mpaka Moro, Hakuna kulala na zile za kuimba zinaweza penya Africa umizeni Vichwa.
Msanii hapaswi kuwa boss wa producer.....!!
Saiv mmehamia Amapiano, uandishi wa ajabu ili kufit kwenye Midundo ya Amapiano.
Mitusi maneno yasiyo na maana , tunaskiliza mabeat tu.....