Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Unajua mno...Oy bro shukrani sana
Napenda sana kuona maproduza mpo karibu.. nilipenda sana ile event kwa mocco pale mlitisha sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua mno...Oy bro shukrani sana
Sasa hapo kwa masta j kosa la nani..WCB wamealibu bongo fleva Zuchu anapewa airtime ambayo hastahili nyimbo zake hazieleweki ndani na nje ya mipaka the same kwa dimond kuna baadhi ya nyimbo ni matusi tu sema jina linambeba.
Ukija kwenye Singeli ni matusi tupu alafu ma godfather wa bongo fleva wamewekwa kando yani kama saizi master j ilibidi awe na lebal kubwa ya kukuza wasanii the same tu majani pia, yani ilibidi leo hii wawe ma bilionea kupitia mziki wa bongo.
Asante bro endelea kusupport kazi zetuUnajua mno...
Napenda sana kuona maproduza mpo karibu.. nilipenda sana ile event kwa mocco pale mlitisha sana...
Nipo mimi hapa PARA🤓🤓🤓🙌🙌🙌Hivi humu kunawasanii wengine tofauti ya mimi na marehemu Haitham Kim?
Kama wapo hata underground hii inamuhusu ,
Check my management
+13234019392
Kwhyo Mzee una amini uyo jamaa ni S2kizzy wa kweli [emoji23][emoji23]Unajua mno...
Napenda sana kuona maproduza mpo karibu.. nilipenda sana ile event kwa mocco pale mlitisha sana...
🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓 na wewe unaamini kuwa huyo sio s2kizzy au ..?Kwhyo Mzee una amini uyo jamaa ni S2kizzy wa kweli [emoji23][emoji23]
Basi na Mimi ni Asake wa kweli
Asake 🤓🤓🤓🤓🤓Kwhyo Mzee una amini uyo jamaa ni S2kizzy wa kweli [emoji23][emoji23]
Basi na Mimi ni Asake wa kweli
Singeli kiasili siyo muziki, ni mchiriku/chakacha au mnanda... Miaka ile akina Marijani Rajabu, Remy Ongala, Msondo ngoma nk wakipiga muziki, mchiriku au chakacha ilikuwa ikipigwa mitaani kama ngoma zingine za asili, tena hii ilikuwa Dar tuu...Nyimbo za bongo kwa asili ni singeli. Bongo fleva ni miziki ya kuunga unga na kukopi nyimbo za nje
Oky.Mziki lazima utakua, cha msingi ni kuongeza vionjo na kupiga midundo inayoishi suala la kurudisha ladha za zamani siziafiki coz iliendana na uimbaji wa zama hizo siku hizi uimbaji na utungaji umebadilika sana
Mimi nasisitiza ladha ziendelee kama ni vionjo basi sio mbaya kuchanganya mapigo au ala za asili na midundo ya kisasa
ExactlySingeli kiasili siyo muziki, ni mchiriku/chakacha au mnanda... Miaka ile akina Marijani Rajabu, Remy Ongala, Msondo ngoma nk wakipiga muziki, mchiriku au chakacha ilikuwa ikipigwa mitaani kama ngoma zingine za asili, tena hii ilikuwa Dar tuu...
Kupenda ujinga ujinga nao ni ujinga ujue?Zile ni tungo tata mkuu fans ndy wanapenda hizoo
Sababu Nimemaliza nae High school @ Kwiro boys, Moro.[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851] na wewe unaamini kuwa huyo sio s2kizzy au ..?
Na kwann huamini labda
Saaafiii sasa wewe ndio nimekuamini moja kwa moja hi si mara ya kwanza kuona comment yako mkuu... hapa sasa naanza kuona kweli jamaa sio s2kizzy aiseee 🙌🙌🙌🙌😂😂😂✊✊✊✊✊✊✊✊Sababu Nimemaliza nae High school @ Kwiro boys, Moro.
Uyo s2kizz wa umu aseme tumemaliza mwka gan, akipatia nitaamini ni yeye.
Sasa umekuja kuchukua maoni ya kuhusu nini ikiwa kila mtu anafanya anavyotaka na sio Bongofleva inavyotaka?Mimi as producer nafanya msanii anavyotaka
Msanii anafanya fans wake wanavyotaka
Naamini katika Burudani, Msanii ndiye kiongozi wa Shabiki.. kwa mfano wako bado kuna uwezekano mkubwa wakuwauzia Viatu na Suti hao wamasai ikiwa tuu wataweza kumudu gharama kutokana na ushawishi wako. Bongo tunafeli katika ushawishi kwasababi Ubunifu ni Ziro..!!Kama siyo msanii ni rahisi kutokuwaza wasanii wanavyowaza.
Hapo una nyimbo zaidi ya 10,000 lkn utakuta hakuna hata Albamu uliyonunua.
Kumbuka wanahitaji kula, kulisha familia n.k na muziki ndiyo wanaotegemea.
Wasanii wanaimba kulingana na jamii inataka nini. Ni sawa na huko umasaini ukauze suti na zile viatu vya 4 angle. Wangapi watanunua?
Jamii ya sasa imebadilika, inahitaji muziki utakaosifia ngono, pombe na wizi ndiyo utapiga pesa.
Angalia series bora zilizochukua tuzo ni Game of throne, Strike back, Prison break, Breaking bad na Money heist zote zimejaa wizi, madawa ya kulevya, ujambazi na ngono za waziwazi. Hata nikikuambia unitajie series bora za kwako lazima hizi 4 nilizozitaja mojawapo lazima iwepo.
Watu waliojaribu kusimama kwenye nyimbo za ujumbe walisombwa na mafuriko kama Afande sele, Juma Nature na kuna jamaa aliyeimba tokomeza zero wa Arusha.
Nyimbo za sasa hivi na jamii inavyopenda ni ngono, pombe na wizi.
Mimi huwa napenda sana kusikiliza nyimbo za rhumba kama Amigo, mtaa wa saba, dunia tunapita n.k inatumia dk nyingi na ina ujumbe na mdundo safi ila watu huwa wananishangaa sana.
Tena wakiimba live sauti zao mbovu kama debe bovu waishukuru sana computer imerahishia mambo yao.Mziki wa bongo sijui wanakosea wapi au ni ukosefu wa vifaa na utaalamu hasa linapokuja suala la kuimba live